TANROAD mpo wapi kwa haya ya jangwani?

Kind

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
247
39
TANROAD mpo wapi?
Leo nimekutana na jambo la kusikitisha sana kama sio aibu hapa Jangwani.
Kutokana na ujenzi unaoendelea kumekua na msongamano mkubwa na foreni.
Hapa jangwani kuna njia inaunganisha morogoro road na ile inayotokea kigogo kwenda kaliakoo. Kwasasa imezibwa.
Kuna watu wanawaelekeza magari yapite njia hii iliyofungwa kisha wanaanza kudai ushuru wa sh 400 kwa kila gari. Ukikubali kutoa kuna kijiko kinatoa mchanga unapita na usipotoa wanakuzibia njia.
Nawaomba TANROAD na kampunii hii ya ujenzi kuwachukulia hatua wafanyakazi hawa
 
Waneshindwa kariakoo na kwingineko cdhani kama hapo wataweza ila nadhani hapo wahusika ni manispaa
 
Back
Top Bottom