deonova
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 742
- 417
Habari wadau,
Napenda kuleta hoja ndogo hapa inanitatiza. Kuna haya magari/tankers ya kusafirisha mafuta kama petrol, diesel, mafuta ya taa ama gesi halafu pembeni yameandikwa "Inflammable" tena sio inflammable tu bali highly inflammable.
Ninavyoelewa mimi kitu ambacho ni inflammable ni kitu ambacho hakiwezi kuwaka moto mfano maji, nk. Lakini vitu hivi bidhaa za petrol kama diesel, kerosene, petrol na vitu kama gesi, vinawaka moto na hata spirit pia maana ina methane gas ndani yake. Sasa inakuwaje tanker limebeba petrol, diesel, kerosene, gas halafu limeandikwa "Highly Inflammable"?
Nimejaribu sana kutafakari nikahisi labda nakosea kusoma ama kutafsiri maana lakini naona si sawa. Hebu tupeane ufafanuzi labda wewe mdau unaona haya maandishi kwenye tanker za mafuta ni sawa?