Tankers za mafuta na gesi kuandikwa Inflammable ni sawa?

deonova

JF-Expert Member
Apr 22, 2013
742
500
Habari wadau,
Napenda kuleta hoja ndogo hapa inanitatiza. Kuna haya magari/tankers ya kusafirisha mafuta kama petrol, diesel, mafuta ya taa ama gesi halafu pembeni yameandikwa "Inflammable" tena sio inflammable tu bali highly inflammable.
Ninavyoelewa mimi kitu ambacho ni inflammable ni kitu ambacho hakiwezi kuwaka moto mfano maji, nk. Lakini vitu hivi bidhaa za petrol kama diesel, kerosene, petrol na vitu kama gesi, vinawaka moto na hata spirit pia maana ina methane gas ndani yake. Sasa inakuwaje tanker limebeba petrol, diesel, kerosene, gas halafu limeandikwa "Highly Inflammable"?
Nimejaribu sana kutafakari nikahisi labda nakosea kusoma ama kutafsiri maana lakini naona si sawa. Hebu tupeane ufafanuzi labda wewe mdau unaona haya maandishi kwenye tanker za mafuta ni sawa?
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
40,646
2,000

mkuu kama lugha tatizo si ungepitia hata dictionary. haya kutoka dictionary.com

[h=1]inflammable[/h]   Use Inflammable in a sentence
[h=2]in·flam·ma·ble[/h] [in-flam-uh-buh
l] Show IPA
adjective 1. capable of being set on fire; combustible; flammable.
 
deonova

JF-Expert Member
Apr 22, 2013
742
500
possible opposite yake ni impossible, personal - impersonal, flammable - inflammable......so mm najua inflammable ni opposite ya flammable:thinking::thinking::thinking:
 
femalepilot

JF-Expert Member
Apr 8, 2014
259
250
possible opposite yake ni impossible, personal - impersonal, flammable - inflammable......so mm najua inflammable ni opposite ya flammable:thinking::thinking::thinking:

Non flammable is the correct opposite..usipende sana kucrem vitu
 
Sahar

Senior Member
Jul 15, 2012
184
225
possible opposite yake ni impossible, personal - impersonal, flammable - inflammable......so mm najua inflammable ni opposite ya flammable:thinking::thinking::thinking:

Mkuu hayo maneno yote mawili hayatofautiani sana maana....... Inflammable hata sio kinyume cha Flammable!! Kama una Dictionary karibu hapo pitia pitia kabla hujaja tena kuendelea kuonyesha udhaifu wako kwa kukusudia!!
 
enhe

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,760
2,000
Nadhani yeye alitaka waandike "Flammable" tatizo ni yeye tu anajaribu kutafsiri kiingereza kwa kiswahili. Na atakuwa anatumia ile kamusi ya TUKI ambayo mwalimu wangu wa Kiingereza aliwahi nikuta nayo akanipokonya na kuitupa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom