Tani 12 za vipodozi feki ni nyingi sana!!

Wakuligo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
259
106
TFDA imekamata tani 12 za vipodozi pale Kariakoo vilivyopigwa marufuku hapa nchini.Kwa mujibu wa mkurugezi mkuu wa TFDA hii ni shehena kubwa kuwahi kukamatwa. Mzigo huu umepitia njia zipi kwa hali ilivyo sasa? Wabongo, I cant u!!
 
Back
Top Bottom