Tani 1.5 ya pembe za ndovu toka TZ zakamatwa Hong Kong | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tani 1.5 ya pembe za ndovu toka TZ zakamatwa Hong Kong

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 10, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  HONG KONG (AP) - Hong Kong customs officers have seized over one and a half tonnes of smuggled elephant ivory worth 10.9 million Hong Kong dollars (1.3 million US) shipped from Tanzania, they said Friday.

  The 384 ivory tusks -- weighing 1.55 tonnes -- were found Thursday inside two containers labelled as "dried anchovies" at the Tsing Yi container terminal, the Ports and Maritime Command said in a statement.


  Two men, aged 46 and 48, have been arrested as part of a continuing investigation, the statement said.


  The international trade in elephant ivory, with rare exceptions, has been outlawed since 1989 after elephant populations in Africa dropped from the millions in the mid-20th century to some 600,000 by the end of the 1980s.


  Anyone found guilty of importing unmanifested cargo into Hong Kong faces a fine up to two million dollars (260,000 US) and imprisonment for seven years.


  In addition, those guilty of importing, exporting or possessing an endangered species for commercial purposes face a fine of up to five million dollars (640,000 US) and two years in jail, the statement said.

  Kenya seized two tonnes of raw elephant ivory bound for Asian markets in August, saying it represented the country's largest recovery of elephant ivory in the recent past.


  At least 4,000 elephants are killed each year across Africa to supply the illegal ivory trade, according to the conservation group WWF.


  [​IMG]

  Nyara zilizokamatwa!

  My Take:
  Nilizungumza wakati ule TZ inalilia kuruhusu pembe hizi ziuzwe kihalali. Nilisema kwamba kwa vile wamekataliwa lazima itatatufwa namna tu lazima ziuzwe! Now here we are! Wameuza mbuga zetu, wameuza madini yetu, sasa na pembe zetu za ndogu wanauza kwanini wasizitekekeze kama wanavyofanya Bunduki?
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,122
  Trophy Points: 280
  Meli ya Kinana vipi haihusiki
   
 3. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji, wateketekeze fedha? Dollar? Wakati hata fedha ya kumlipa Askari wa Wanyamapori posho hamna? Vitendea kazi hamna? Na kuna ushahidi gani kuwa Serikali ikiteketeza shehena yake ya pembe za ndovu basi biashara hii itakoma? Ni kama vile umefanya hitimisho kuwa shehena hii iliyokamatwa Hong Kong imetoka kwenye maghala ya serikali. Ulimaanisha hivyo?
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hii nchi imejaa wahuni. Wanatuchekea kumbe wanatuteketeza. Na ndio maana wako tayari kufa na mtu au kummaliza yeyote anayetaka kuwazuia kuendelea na ujangili wao, ufisadi na uchafu wao usiosemeka.
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kama kama una A,B,C, D ya biashara ya pembe za ndovu basi huwezi kuitetea serikali inayotaka kuungana na majangili. Dawa ni kuzichoma moto zote kwani hata wangeziuza hiyo pesa haiwezi kumaliza matatizo yetu yote. Pesa ambazo zinapatikana bila kustawisha biashara haramu wameshindwa kuzi-manage ndo wataweza hizo za pembe za ndovu? Hakuna mtu yeyote kwenye serikali hii mwenye credibility ambayo inaweza kutuhakikishia kuwa wakiuza hiyo shehena hawatawapatia nafasi washikaji wao kupandishia mzigo wao juu yake. Bora zichomwe moto hata kesho.
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hii nchi nawaambiwa kama ccm watarudi madarakani basi tuombe mapinduzi ya kijeshi!
   
 7. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ha ha ha Kinana akikusikia unamfatafata kwenye biashara zake haramu za pembe za ndovu utakoma
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280

  sijali sana kama imetoka kwenye ghala ya serikali au ya wawekezaji..
   
 9. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tema mate chini ndugu yangu.....tunahitaji taasisi zenye nguvu na uwezo wa kutekeleza wajibu wake sio personalities.....!
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hili nalo neno...
   
 11. S

  Sylver Senior Member

  #11
  Sep 10, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kinana yuko wapi? hao jamaa watataja tu mzigo wakina nani
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,122
  Trophy Points: 280
  Siyo MKJJ amesema statement ya maofisa waliozikamata wamesema zimetoka Tanzania kama wewe unayajua maghala sawa lakini zimetoka Tanzania.
   
 13. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kama wakiziuza hiyo pesa haiwezi kumaliza matatizo yetu yote. Lakini kama zikitumika vizuri, zinaweza kuboresha sana hali ya askari kule porini na hivyo kuimarisha ulinzi [anti-poaching]. Kwa ufahamu wangu wa sector hii ya wanyamapori [I am a stakeholder], bila kuwajali askari wa wanyamapori [game scouts], ujangili hautakoma. Hali yao inavyozidi kuwa mbaya, ndio wanashawishika kuua Tembo ama kuwezesha ujangili kufanyika.

  Sasa wewe mtaalamu unayejua "A,B,C, D ya biashara ya pembe za ndovu" nisaidie, kuzichoma pembe za ndovu moto ni "dawa" ya nini? It's like you are saying, the solution to the governance problem within the government and wildlife sector in particular is to set fire to the valuable ivory stockpile.

  Problem: Poor governance.

  Solution: burn the ivory so that everybody loses.

  Really?
   
 14. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  So what are you trying to say man? Walikataliwa kuuza pembe za ndovu zilizoko kwenye maghala ya serikali. Wewe ukatabiri watatafuta namna kuziuza. Consignment imekamatwa Hong Kong, ukaandika "Here we are", kwamba yale uliyosema yametimia. Then, unasema hujali kama zimetoka kwenye maghala ya serikali au la.
   
 15. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Ni kweli. And that's not an issue here. Issue hapa ni kwamba Mwanakijiji anathibitisha yale aliyoyasema/tabiri yametimia i.e. serikali/ama watu ndani ya serikali wamefanikiwa kupata namna ya kuuza illegally zile pembe za ndovu walizokataliwa kuuza kipindi kile. Kwa maneno mengine, Mwanakijiji anasema meno yaliyokamatwa Hong Kong yametoka kwenye maghala ya serikali ya Tanzania [Kumbuka hapo awali Serikali iliomba kuuza pembe/meno ya tembo yaliyohifadhiwa kwenye maghala yake]. Swali langu ni , Je ni kweli kuwa meno yaliyokamatwa HK yametoka kwenye maghala ya Serikali ya Tanzania? Kama ni kweli, yalitokaje? [NOTE: CITES wana record ya kila tusk iliyoko pale ivory room].
   
 16. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,122
  Trophy Points: 280
  Pure politics
  Leo ndio mnajidai kuwakumbuka game scouts kwa kuuza pembe ili mwalipe vizuri no way zichomwe tu kwanza hao game scouts ndiyo majangili menyewe yanashilikiana majangili kina Kinana.
   
 17. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,122
  Trophy Points: 280
  Kesi itakapofika ndipo mtatuambia meno yametoka wapi maghala ya serikali au wapi sisi tunachojua yametoka Tanzania majangili kwa majangili lazima mtatajana, afterall kwanini unatetea sana hayakutoka maghala ya serikali au unajua yalikotoka?
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kumbe tatizo lenyewe unalijua? Hebu basi nipe mifano ya pesa ambazo tumewahi kuzitumia vizuri na hao watu watakaosimamia matumizi yake? Labda kama una maana kuwe tuuze pembe za ndovu halafu pesa tumpatie Kinana au RA?

  Hivi tumesahau kuwa Nyerere alisema kuwa kama hatuwezi kuchimba madini tuyaache ardhini kwani hayawezi kuoza? Sasa hizo pembe tuna haraka gani nazo kama siyo kutafuta ma-EPA juu ya EPA?
   
 19. A

  Alpha JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Here we go again. This is the same government that was crying about being refused to sell their ivory stocks.

  Hong Kong seizes 1.5 tonnes of smuggled elephant ivory
  (AFP) – 15 hours ago
  HONG KONG — Hong Kong customs officers have seized over one and a half tonnes of smuggled elephant ivory worth 10.9 million Hong Kong dollars (1.3 million US) shipped from Tanzania, they said Friday.
  The 384 ivory tusks -- weighing 1.55 tonnes -- were found Thursday inside two containers labelled as "dried anchovies" at the Tsing Yi container terminal, the Ports and Maritime Command said in a statement.
  Two men, aged 46 and 48, have been arrested as part of a continuing investigation, the statement said..
  The international trade in elephant ivory, with rare exceptions, has been outlawed since 1989 after elephant populations in Africa dropped from the millions in the mid-20th century to some 600,000 by the end of the 1980s.
  Anyone found guilty of importing unmanifested cargo into Hong Kong faces a fine up to two million dollars (260,000 US) and imprisonment for seven years.
  In addition, those guilty of importing, exporting or possessing an endangered species for commercial purposes face a fine of up to five million dollars (640,000 US) and two years in jail, the statement said.
  Kenya seized two tonnes of raw elephant ivory bound for Asian markets in August, saying it represented the country's largest recovery of elephant ivory in the recent past.
  At least 4,000 elephants are killed each year across Africa to supply the illegal ivory trade, according to the conservation group WWF.


  AFP: Hong Kong seizes 1.5 tonnes of smuggled elephant ivory
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kinana hahusiki?
   
Loading...