dah bonge la wimbo hiloKwa kweli Nzinzi ... by king emineya inanikosha sana mpaka leo
Ngoni ft Jaydee SirimbaMaoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi:
Ni bila kuangalia
_AINA YA MUZIKI
_UJUMBE
_MSANII ALIYEIMBA
_HADHIRA ILIYOKUSUDIWA
_UKUBWA WA MWANAMUZIKI
_MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA LEBO, PROMOTA, MSANII, MEDIA
***********
NI WIMBO GANI BORA KWAKO,
TANGU UANZE KUSIKIiLiZA MUZIKI
mpaka leo hii.
Angalizo ni umri wa...18+
asanteeee mkuuYangu ni hii
utakuwa mtu wa songea weweNarudi nyumbani (I want to go back home) - Dr.Remmy Ongala.
😁😁😂 Hujakosea. Dr. ananikumbusha mbali anapotaja Matimila,Peramiho,na Majimaji.utakuwa mtu wa songea wewe
nahisi...ngoja wajuz waje😁😁😂 Hujakosea. Dr. ananikumbusha mbali anapotaja Matimila,Peramiho,na Majimaji.
Na sijui ni kwanini bendi yake iliitwa SUPER MATIMILA? Alikuwa na uhusiano wowote na Matimila?