Tangu uzaliwe mpaka sasa 2022, ni wimbo gani bora kwako?

Hizi ndo nyimbo bora kabisa za wakati wote katika makundi mbalimbali:

Bongo Fleva:
MB Dog, Si uliniambia


au remix yake akishirikisha Yakuza Mobb



Muziki wa dansi:
Hapa ni kazi kwelikweli, ila kutoka kwa Wakongo wa Dar es Salaam
Diamond Musica, Mapenzi


Na kutoka kwa Watanzania ni
Banza Stone akiwa TOT Plus Band, Elimu ya Mjinga


Rusha Roho:
Mzee Yusuf (Jahazi Modern Taarab), Alamba alamba tena


Taarabu (Orijino)
Issa Matona, Kimasomaso


Singeli
Meja Kunta, Madanga ya Mke Wangu
Yaani huu wimbo ndo unakupa ladha ya maisha ya uswahilini kabisa kule kwa Mpalange, kwa Alimboa, Kigogo, n.k., ambako muzikli wa Singeli ndo ulikotokea.


Gospel - Kuabudu
Mercy Linah, Niponye
 
Inakuwaje tunasikia maneno wanavyosema kwa lugha zetu wenyewe?

Wakatoliki wamenielewa.
 
Back
Top Bottom