Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata Rais mnyenyekevu, Mpole, Msikivu, Mtulivu na mwenye hofu ya Mungu

View attachment 1932539

====

Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata :-​

1. Rais Mnyenyekevu kama huyu,​

2. Rais Mpole kama huyu,​

3. Rais Msikivu kama huyu,​

3. Rais Mtulivu kama huyu​

4. Rais Mwenye hofu ya Mungu kama huyu​

5. Rais Mkarimu kama huyu​

6. Rais Mzalendo kama huyu​

7. Rais Jasiri kama huyu,​

Mama,
 
Ndio nyani wanakula mahindi yeye anawaambia, nyie nyani acheni kula mahindi,ni vibaya hivyo,Ni lazime nyani wamsifu,
 
Wewe unaswali wapi?
Kwani topic inanihusu mm?

Jibu tu Anaswali wapi tujue asili ya HOFU ya Mungu inatokana na kuswali au ni ya kurithi Kutoka Kwa wazazi.

Weka na kapicha ka hivi karibuni akiswali Ili kuhalalisha HOJA ya HOFU ya Mungu.
 
Kwani kuswali Mpaka uende kanisani au Msikitini?
 
View attachment 1932539

====

Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata :-​

1. Rais Mnyenyekevu kama huyu,​

2. Rais Mpole kama huyu,​

3. Rais Msikivu kama huyu,​

3. Rais Mtulivu kama huyu​

4. Rais Mwenye hofu ya Mungu kama huyu​

5. Rais Mkarimu kama huyu​

6. Rais Mzalendo kama huyu​

7. Rais Jasiri kama huyu,​

Tuendelee kumuunga mkono Rais wetu anafanya mengi mazuri.
 
Back
Top Bottom