Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata Rais mnyenyekevu, Mpole, Msikivu, Mtulivu na mwenye hofu ya Mungu

RAIS SAMIA AKIHAMASISHA UTALI,

IMG-20210919-WA0025.jpg
 
Uko Sahihi mleta mada japo hujaiweka vizuri,

Sijawahi kuona Rais mnyenyekevu kama Samia Mungu shahidi yangu,
Sijawahi kuona Rais mwenye hofu ya Mungu kama Samia,
Sijawahi kuona Rais mtulivu wa nafsi Kama Samia,
Ongezea na hujawahi kuona Rais mnafiki na mbinafsi kama Samia.
 
Ya nini kutuonesha nembo ya Wachina TAIDEN kwenye mikrofoni ya rais? Si wangeweza kuiziba tu kwa ku plast neno 'Rais' hapo? Uvivu!
 
Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,

1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA

2.Rais mpole Africa -SAMIA. √

3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √

4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √

5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √

" MAMA,WE LOVE YOU | NIWEWE 2021-2030"

......TANZANIA TUKO SALAMA NA MAMA .....

View attachment 1932539

VIVA TANZANIA VIVA | VIVA SAMIA VIVA
 
Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,

1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA

2.Rais mpole Africa -SAMIA. √

3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √

4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √

5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √
Uko sahihi Mama live Long,
 
Back
Top Bottom