Alikuwa hajazaliwa.Umempiga pabaya sana huyu member
Atajiona Kilaza ambaye hajui historia ya nchi hii
Nimecheka sana ulivyomjibu, Muda huu atakuwa anauma uma meno
huyo kwao ni mkurangaKwani wakati wa mzee Ruksa ilikuwaje?
Aliyekupiga fix kwamba Mwinyi Ali Hassan ni Mzanzibar kakudanganya , waonyeshe walipo wazazi wake na ndugu zake .Ikiwa unaamini mzee Mwinyi si Mzanzibar halisi basi Hussein pia si Mzanzibar halisi.
Je msingi wa hoja yako ni upi?
Unajua Somalia Haina serikali na wanaishi maisha Mazuri na hawana umaskini wa kupitiliza? Hakuna Rais Mwenye ngozi Neyeusi tii kama kiwi anayewaza maendeleo ya watu zaidi ya maisha yake na Familia yake.Labda kichwa chako ni kina makapi.
Kwa kusema hivyo ina maana yuko unayemsujudu
Hata mwaka jana alikuwa hajazaliwa ??Alikuwa hajazaliwa.
Hapa Kuna mkanganyiko!Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Maana yake hakuzaliwa ZanzibarMwinyi alizaliwa Kivure kwenye Mkoa wa Pwaniwa Tanzania bara lakini wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Kuanzia mwaka 1933 alipokea elimu ya msingi na sekondari kwenye shule za Mangapwani na Dole Secondary School alikohitimu mwaka 1942.
Tnaomba marejesho..... Maana wengine tu nasikia kuwa Maza bado anakula Bata majuu na Mwinyi kaikacha.....!!Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.
Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Hahahhhhhhhaaaaaaaaaa kama ni kweli basi ni historia ya duniaNa pia ni mtu na dada/kaka yake wakishea baba mmoja ambaye naye aliwahi kuwa rais wa Zanzibar na Tanzania. Kweli tunatawaliwa kisawasawa.