CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,983
- 4,080
Kaziindelee Tanzania na SamiaView attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,
Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,
Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,