Tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa ni taarifa za Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Wabunge. Tukio linakinzana na uhalisia wa Rais kuongea na Vijana

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.

Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.

Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
 
Lengo mkutano wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni kuongea na Vijana na kujua Changamoto zao.

Matarajio yamekua tofauti kabisa na ilivokua, Mawaziri wamekua wasemaji wa kero za Vijana na Taasisi za Fedha zimekosa kbisa kutoa neno katika sekta ya Fedha.

Waziri Jenista Mhagama kaongopea Taifa kuwakilisha kero za Vijana,

Amekaa na Vijana wapi na lini?

Amehadaa watu.

Sekta za Fedha kama Bank ya Maendeleo ya Kilimo na zingne zimesema VIJANA hawakopesheki huku wengi wakitarajia wangekuja na solutions na ushauri wa namna ya kutatua changamoto na vikwazo ili VIJANA wakopesheke.
 
Azimio la Arusha 0
Azimio la iringa 0
Azimio la Zanzibar 0
Azimio la wanawake 0
Azimio la Wafanyabiashara 0
Azimio la vijana nalo ni 0

Nchi ya porojo na maneno kuliko vitendo

Ajenda ni vijana ila watu wanaongea mambo yasiyohusu vijana kabisa.

Mtu anasimama eti anamkaribisha Rais Kwimba. Kha!!
 
Kwa namna malengo na matarajio ya wengi mkutano huu ilikua fursa pekee ya VIJANA kukaa na kuzungumza CHANGAMOTO za VIJANA nchini.

Hali imekua tofauti imekua uwanja wa Mawaziri na Taasisi zingine kuelezea malengo yao na yale wamefanya na kisifu tu.

Mkutano umebakwa na Mawaziri, Taasisi na CCM haukua mkutano wa Vijana.

Tutaomba mkutano wa VIJANA rasmi huu haukua wa VIJANA.
 
Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.

Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.

Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
Hadi sasa wabunge nao wanaendelea kudemka.

Mama bado.

Hiiiiii bagosha!
 
Lengo mkutano wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni kuongea na Vijana na kujua Changamoto zao.

Matarajio yamekua tofauti kabisa na ilivokua, Mawaziri wamekua wasemaji wa kero za Vijana na Taasisi za Fedha zimekosa kbisa kutoa neno katika sekta ya Fedha.

Waziri Jenista Mhagama kaongopea Taifa kuwakilisha kero za Vijana,

Amekaa na Vijana wapi na lini?

Amehadaa watu.

Sekta za Fedha kama Bank ya Maendeleo ya Kilimo na zingne zimesema VIJANA hawakopesheki huku wengi wakitarajia wangekuja na solutions na ushauri wa namna ya kutatua changamoto na vikwazo ili VIJANA wakopesheke.
Izo ni protoko na lazima protoko ziwepo mahali popote anapokuwa raisi
 
Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.

Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.

Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
Hadi sasa mkuu ni wabunge wanaendelea kuongea ,ni saa 13:23
 
Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.

Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.

Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
Siwezi hudhuria jambo la ajabu kama hilo
 
Back
Top Bottom