Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 4,476
- 11,026
Mkuu tumia tafsidaKama upo jirani hapo waambie makalio yao yamepauka wamekalia majivu.Waambie nimesema mimi.
Mkuu tumia tafsidaKama upo jirani hapo waambie makalio yao yamepauka wamekalia majivu.Waambie nimesema mimi.
Hizo ni protojo.Awe mkweli.
Hivi unawajua CCM ambavyo hawana hishima mkuu?Hao ni nyang'au kasoro mama Samia tu😂😂😂Mkuu tumia tafsida
Anazungumzia kuhusu Baraza la vijana ambalo wamejaa makada wa CCMHivi unawajua CCM ambavyo hawana hishima mkuu?Hao ni nyang'au kasoro mama Samia tu
Namuonea huruma mama yetu.Anaongea na vimbwenerehi!Wapo tu hapo na kujipitisha huku wanawaza kuteuliwa.Wana akili za ki-Marioo🤣🤣🤣Anazungumzia kuhusu Baraza la vijana ambalo wamejaa makada wa CCM
Sasa ulitaka tuwe wanyonge hadi kwenye kuandika?Mkuu weye acha.Na mama anapita kusoma.Kiongozi Atakayewaweza wabongo atakuwa mwenye bahati sana aisee!
Inaonekana wanaompangia walichemka. Kuna wakati alianza kuongea mdada mmoja nikaona rais anamgeukia msaidizi wake, kama anauliza hii ratiba vipi? Baada ya hapo akaja kuongea mdada aliyejitambulisha kama mbunge toka CHADEMA na mara tu alipomaliza nikaona Rais kasimama bila kukaribishwa, akavamia mimbari na kuanza kutoa hotuba yake!Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.
Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.
Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
Kabisa unatoka unakotoka kwenda kupiga soga na Rais? Next time uwe serious. Kama unafikiri kupiga soga ni kazi basi fikiri mara mbili mbili.Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.
Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.
Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
Sisi wanaume tunasuiri zamu yetuKatika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.