Tangu nimezaliwa nakiri kuwa sijawahi ona nyimbo nzuri ya Hip hop Bongo kama hii

Alaf nisaidie kupata video ya azalaki awa ya ghato beevans kunamtu kaimba nimesahahau jina lake nadhani ni mkongo mwenzake
 
Kalla jeremiah mnyama sana nakumbuka bss ya kwanza kabisa ilibaki kidogo amtoe machozi master j... Master j alimwambia kijana unaweza sana aina ya muziki unayofanya inakunyima kura lkn mimi wewe ndio mshindi wangu... Maneno yake yanadhihirisha ubora wa kala kila siku!
 
Sema mojawapo ya nyimbo nzuri za hiphop itakuwa nzuri zaidi
 

Sukuwahi kuutilia maanani wimbo huu, ila Leo nimeona vitu Vinci vya ziada. Wimbo mzuri na unastahili tunzo. Unanukumbusha jinsi nilivyoichukia BSS mazima Kwa kutompa ushindi huyu jamaa. Nikiri tu, sijaangalia tena bss zaidi ya kufuatilia Kwa mbaaaali, nasikia washindi wake wote ni hewa. Wanatoka Kwa sauti kubwa na harufu ila wanapotea ghafla
Nimeipenda sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom