johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,599
- 141,415
Kiukweli kwa sasa tumebakia na jina la CCM ila itikadi na misingi yake ilishapitwa na wakati ndio maana Nyerere aling'atuka.
Kikwete alijaribu kuiunda upya CCM kwa kuivua gamba lakini ilishindikana kwa sababu chama chenye gamba ni kizee zee ukikivua ndio unakiuwa kabisa.
Labda hiyo Umoja Party ndio kitakuwa mbadala lakini tukumbuke hata CCM ya Magufuli ilifeli.
Maendeleo hayana vyama!