Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,289
- 6,339
Ngoja kesho ingawa ntazunguka lakini ntapitiatu ubungo nikaone mana nikipita leo j 2, ntajidanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewee acha porojo jamviniHakika pamekuwa sukari..
Tanroad wao wanajua kutafuta makosa na kutoza watu fain tu mizani ukiwa nashida hata iwe kidogo kiasi gani utasiki dola 2000, kwasisi watu wa usafirishaji bora ukutane na simba waweza mpigia kelele akakimbia kuliko hao Tanroad, kujifunza kwao ni mwiko viburi sana hao jamaa, usiombe hapo Dar ukutane na wale wa haice utajuta na pesa yote ya faini hawaitumii kuboresha miundo ya bara bara foleni zipunguwe mpaka wahisani waje huo uingini wao niwa kuvaa suti tu nakupiga watu fain.Hata mimi ninadhangaa na kuona aibu kupishana na wale Wachina pale Ubungo.
Kumbe tumepoteza muda na pesa nyingi kuweka mataa pale???
Foleni imepungua kwa asilimia 91.
Pia imenikumbusha rout about za Dodoma na Moshi zinavyofanya kazi.
Kweli sasa Mwenge, Tazara, Buguruni, Ilala, Magomeni, Morocco, External, Taifa n.k sasa pawekwe round about
Kwa wanaopita Ubungo pale mataa wameanza kuona raha ya kuondokana na foleni baada ya kujengwa mzunguko mkubwa ule!
Swali langu kwa TANROADS, Je mnataka mpaka Rais ndo aje aseme mjiongeze kujenga na MWENGE, MAGOMENI, na BUGURUNI?
Maeneo haya yana mateso makubwa kwa foleni
kwanini pasibadilishwe zikawekwa roundabout kubwa kubwa ili kuondoa adha hii?
Ndo maana kila siku wachina wanapewa kazi kwa ujinga wetu wa kukosa weledi
Una uhakika ni wachina bila kuwashirikisha Tanroad? Unajua ujenzi wa barabara siyo kama wa nyumba iliyojengwa bila kibali.
Mkuu salaamIla ingekuwa bora hata akaelezea nini kinaendelea hapo, hata sisi wa mkoani tukajua. Maana huwezi jua kesho itakukutia wapi. Na maamuzi sahihi yanatokana na taarifa sahihi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu salaam
Kwa karibu Miezi sita sasa kuna ujenzi unaoendelea hapo Ubungo, ujenzi wa exchange lanes kwenye makutano ya Ubungo wenye lengo la kupunguza foleni.
Kwa kweli ujenzi huu ulisababisha kero sana kwa watumiaji wa makutano hayo. Natumai wewe na Mtanzania na unafuatilia habari utakuwa unajua kuwa kuna ujenzi mkubwa unafanyika pale.
Kuna Round about kubwa ambayo inaruhusu magari kupishana, yenyewe imejengwa kwa muda, ni efficiency sana kiasi cha kuondoa foleni kabisa.Asante kwa maelezo mazuri, nini kimesababisha kupungua kwa foleni sasa hivi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Inawezekana imepunguza foleni kwa kiasi fulani...lakini tukumbuke wenye magari wengi wanakwepa kupita Ubungo kwa kuogopa foleni.Last week ijumaa nilipita pale mida ya peak nikaona nateleza tu kitu ambacho si kawaida, hiyo round about imepunguza kabisa tatizo la foleni ubungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana imepunguza foleni kwa kiasi fulani...lakini tukumbuke wenye magari wengi wanakwepa kupita Ubungo kwa kuogopa foleni.
Hofu yangu foleni itarudi baada ya watu kusoma Uzi huu!!!
Kwa wanaopita Ubungo pale mataa wameanza kuona raha ya kuondokana na foleni baada ya kujengwa mzunguko mkubwa ule!
Swali langu kwa TANROADS, Je mnataka mpaka Rais ndo aje aseme mjiongeze kujenga na MWENGE, MAGOMENI, na BUGURUNI?
Maeneo haya yana mateso makubwa kwa foleni
kwanini pasibadilishwe zikawekwa roundabout kubwa kubwa ili kuondoa adha hii?
Ndo maana kila siku wachina wanapewa kazi kwa ujinga wetu wa kukosa weledi
KUMBE HIZO FLYOVER HAZIKUWA MUHIMU KAMA ROUNDABOUTS ZINGEKUWEPO. KWELI HATUNA WAHANDISI, TUNA VYETI TU LAKINI UBUNIFU ZEROKwa wanaopita Ubungo pale mataa wameanza kuona raha ya kuondokana na foleni baada ya kujengwa mzunguko mkubwa ule!