kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 13,874
- 15,605
Lissu ni mtu mwenye kupenda airtime asipotee masikioni mwa watu Lissu anapenda kujisikia yeye ni mjuzi kuliko mtu yeyote anapenda kujiona ni msomi wa kiwango cha juu wafuasi wake wanamuona kama nabii,
Lissu alipokuwa nairobi aliongea na vyombo vya habari vya mabeberu akazungumzia mazonge yake mengi,
Wafuasi wake ikawa ndio wamepata pa kusemea,
Alipofika ubelgiji akapata nafasi nyingine ya kuongea tena
Na pia hivi sasa amekuja na taarifa yake nyingine kuwa mbeleni katika ratiba zake ataongea na vyombo vya habari
Swali je kuna faida yeyote aipatayo au ni kujionyesha alivyo dhaifu ,mbinafsi na mpenda kujikweza
Je amekisaidia nini chama na hiyo mikutano yake
Je imemsaidia kupata pesa zake za matibabu
Je imemsaidia kuiangusha serikali
Je kimezuia CCM kukosa kura
Sasa amepona ni wakati mzuri wa kuja kueleza kwanini hawakuingia kituo cha polisi wakati walihisi wanafuatiliwa wakakimbilia nyumbani!