Tangu JK aapishwe ni machungu tu kwa Watz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangu JK aapishwe ni machungu tu kwa Watz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Dec 24, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Nimelitafakari sana hili, na nimegundua kwamba tangu kuapishwa kwa JK mwezi uliyopita, Watz wamekuwa wanaonja machungu tu: Mgao wa umeme na maji, habari za kupanda bei za umeme, ongezeko la bei ya mafuta, ongezeko la bei ya bidhaa mbali mbali, wanafunzi wa vyuo kuandamana kudai haki/posho zao, uharamia katika chaguzi za mameya wa halmashauri…….[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Listi ni ndefu mno, na mwanzo ndiyo huonyesha ishara ya tunakokwenda. Ni bora wananchi wakasahau kabisa uwezekano wa hata kutimiza asilimia 0.000001 ya ahadi lukuki alizotoa JK wakati wa kampeni – iwapo mwanzo ni wa namna hii.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Nasikia yeye yuko majuu kwenye matanuzi.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  vasco dagama anajivinjari tu USA, hajui hayo mnayoyapata coz its none of his bussiness.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Jumapili liyopita nimesali pamoja na Jaji Makame....yaani haonyeshi dalili kuwa alihusika na wizi wa kura kabisaa
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hawezi tena kutawala vyema kwa sababu huko majuu aloko, wazungu hawalitaki tena bakuli lake analetembeza kwa sababu ya yaliyojiri katika Wikileaks!
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hujiulizi soda kupanda baada ya uchaguzi instead of baada ya bajeti kwa maana ya kodi kuwa wamepandishiwa? CCM walichukua hela makampuni mengi tu, na wakaambia mjue mtarudishaje faida zenu. Kwa hiyo huko kupanda ni katika kufidia na ku-maintain faida zao ktk walichochangia. Na things will get more worse mwakani maana hata wafadhili wengi wamegoma kuchangia. Wekeni akiba bandugu, maana things will get worse come 2011.
   
 6. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulitaka JK awape wakristo wa Tanzania zawadi gani zaidi ya kuwatangazia heri njema ya GIZA (blackout!)?
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Na bado machungu yatazidi hapa!
   
 8. semango

  semango JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ujue ccm bado wanadhana kua kuongoza wananchi wa Tz ni raisi sana kuliko hata kuongoza mbwa wa polisi.sasa wajue tu watz wameshaamka ndio maana mining'ono imekua mingi mtaani.
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Na bado, mtajuuuuuuuuuuuuuuta kumchagua mkwere kuwa rais.
   
 10. MANI

  MANI Platinum Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  ARI ZAIDI,KASI ZAIDI ndio ulikuwa msemo wake nadhani umeshaanza kutimia, fungeni mikanda wandugu.
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Si wote wanasikia machungu asimilia 62% wanaona mambo yao safi, asilimia 38% ndio wanaona machungu

  Wengine Machungu tangu enzi za nyerere hadi leo...same shi.....t different day
   
 12. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Umenifurahisha kweli........................ Umenikumbusha lile domna la njano tena unalipata kwa foleni. Nakumbuka tulikuwa Bukoba enzi hizo kabla ya vita. Hivyo inabidi kuchanganya na unga wa mihogo kutoka Kiambisi, wilaya ya Biharamuro.
   
 13. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mkwere mwenyewe ana gundu. Unategemea nini hapo.
   
 14. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280


  Miaka hii mitano ijayo nafikiri itakuwa noma kweli!!
   
 15. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Maafa.
   
 16. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  mkwere na kundi la mabaradhuli wamedhamiria kutufilisi kabisa na kujitarisha kwa garama yoyote. Nashauri tuache kulalamika na tuchukue hatua, kila ambae hajui kutumia silaha aende mgambo au aombe aelekezwe na wanaofaham, tukikaa kimya watoto wa wajukuu zetu watatucheka kwanini tusifanye kama akina kinjekitile ngwale?,dedan kimath na wengineo? Mkoloni bado yupo na mapambano lazima yaendelee watu waache uoga.
   
 17. k

  kayumba JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mungu atuepushe tusijeletewa RICHMOND nyingine manake na original Richmond ilitanguliwa na mazingira kama haya wakati JK anaingia madarakani katika awamu ya kwanza!

  MUNGU IBARIKI TANZANIA!
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  It is time to act accordingly
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Na badoooo hii ni trela picha kamili inakujaaaa:hungry:
   
Loading...