Tangu ateuliwe yeye ni kufungua madrasa tu hana kazi nyingine?

Hakuna kokote unapoanza darasa na kuwa Chuoni isipokuwa kwenye uIslaam tu, ni nani abishae?

Sisi huanza Chuo kuanzia chekechea, wapi weyeee?
sasa huoni kuwa huo ndio utahaira,utaanzaje chuo halafu uanze la kwanza uishie tena chuo..yani wewe pumba tu..ccm wanakulipia airtime kuchafua nyuzi za watu tu..vua shungi hilo
 
we kilaza muafaka na makubaliano ya cuf na ccm yapo kikatiba,ya arusha so kikatiba
 
Jamani mbona shughuli za kusimikwa maaskofu anahudhuria bila kukosa?sijawahi sikia akihudhuria kusimikwa sheikh labda mazishi ya masheikh.au ulitaka alale kanisani?
 
Ndio maana sisi CDM hatuna vyeo vya makamu wala naibu nani sijui ili ruzuku ambazo ni kodi za wananchi zisitumiwe vibaya! na tuna mpango wa wabunge wa viti maalumu kuwapiga stop bungeni ili tuokoe pesa za walipa kodi aaaah acha kunitolea macho natania tu jamani.

hamna manaibu! Zitto ni nani? Mnaongea sana, em punguzeni kidogo basi!
 
sasa huoni kuwa huo ndio utahaira,utaanzaje chuo halafu uanze la kwanza uishie tena chuo..yani wewe pumba tu..ccm wanakulipia airtime kuchafua nyuzi za watu tu..vua shungi hilo

Nadhani ulifeli kiswahili, kama kila neno lingekuwa na matumizi mara moja basi ingekuwa shida! Yani ukisema nimekula mbuzi basi iwe umekula kibao cha kukunia nazi, duh! Maandamano bwana! Wao wanafikiria mbio tu!
 
tujadili mada tuache kujadili imani za watu.
huyu maalim hana lolote anadhalilisha upinzani.
naomba tuwatahadharishe mbowe na wenzake wawr makini isije ikawa ndio njaa ya wapinzani wakipata madaraka tu roho zao kwatuuuu.
sisi tunaumia huku chini.
 
Naona jamaa kanyosha kidole juu. Hivi kwa nini hawa wenzetu wengi wao wanapoongea na kusisitiza pointi mpaka wanyoshe kidole? Hii nimeiona kwa wengi tu (wanasiasa na hata viongozi wa dini) wa dini ya kiislamu. Kuna nini kwenye kidole? Hakuna namna nyingine ya kuwasilisha ujumbe?
ni vema ukitazama picha hii na kisha ukamuuliza huyu bwana mkubwa kuhusu kidole kinamaanisha nini huenda akawa na jawabu tosha kwako mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Shostu lengu langu zuri tu kaka kuuliza hawa watu wakikamata madaraka mbona hivi
kelele za kujenga madaraja ati kutengeneza barabara alizokuwa akipiga maalim seif leo azisikiki tunauliza
na wenzake wakikamata mlo watakaa kimya na hili swali namaanisha hiyo nimetoa gazeti la jana nina copy
ya gazeti tatu akifungua madrass na shule za kawaida sio mbaya swali mbona asemi yale aliokuwa akipiga kelele ama ndio
kashafungwa mdomo
wa heshima yako nimeiondoa mkuu
 
Back
Top Bottom