Tangu ateuliwe yeye ni kufungua madrasa tu hana kazi nyingine?

Kiujumla makamu wa rais hana kazi tofauti na kuwa na haki ya kubwia kodi zetu. Hata bilal huku bara si anadhurura tu. Siku izi eti anataka apewe somo udom aendelee kutoa lecture,sijui anataka walimu watoe wapi kazi. Vyeo vya makamu,na viti maalum ni utapeli wa kodi Tanzania.
 
Hakuna kokote unapoanza darasa na kuwa Chuoni isipokuwa kwenye uIslaam tu, ni nani abishae?

Sisi huanza Chuo kuanzia chekechea, wapi weyeee?
 
P Diddy nilikuwa nakuheshimu sana lakini nilikuwa nakuchukulia sivyo hivi nani kakuambia kuwa Maalim alikuwa anafungua madrassa au unataka kuutukana uislam ki style? Ilhali kwenye hizo bendera za kijani kumeandikwa Maulid Mubarak tena kwa CAP Fonts?

Anyway nadhani ulitaka kuleta chokochoko za kidini ungeiweka thread yako vizuri kuliko kuweka vijembe.

Tumeona yaliyotokea Arusha kumepatikana kile nyie mnachokipinga "mwafaka" sasa CDM imeolewa tena kinguvu sijui na nyie meya wenu atakuwa anafungua makanisa?
 
Kiujumla makamu wa rais hana kazi tofauti na kuwa na haki ya kubwia kodi zetu. Hata bilal huku bara si anadhurura tu. Siku izi eti anataka apewe somo udom aendelee kutoa lecture,sijui anataka walimu watoe wapi kazi. Vyeo vya makamu,na viti maalum ni utapeli wa kodi Tanzania.

Ndio maana sisi CDM hatuna vyeo vya makamu wala naibu nani sijui ili ruzuku ambazo ni kodi za wananchi zisitumiwe vibaya! na tuna mpango wa wabunge wa viti maalumu kuwapiga stop bungeni ili tuokoe pesa za walipa kodi aaaah acha kunitolea macho natania tu jamani.
 
Hivi hizo bendera za kijani na njano na nyota ni za chama gani wadugu wane?? Au yuko nchi za nje? Strange....
 
Aisee mwache ale bata ona anavyowaka sasa hivi.
Mzee mpaka ndevu zilikuwa zimekuwa kipilipili
 
Naona jamaa kanyosha kidole juu. Hivi kwa nini hawa wenzetu wengi wao wanapoongea na kusisitiza pointi mpaka wanyoshe kidole? Hii nimeiona kwa wengi tu (wanasiasa na hata viongozi wa dini) wa dini ya kiislamu. Kuna nini kwenye kidole? Hakuna namna nyingine ya kuwasilisha ujumbe?
 
mungu wa ajabu sana kuna watu humu ndani ningepewa jukumu la kugawa pumzi ningewanyima one minute after they speak
 
Naona jamaa kanyosha kidole juu. Hivi kwa nini hawa wenzetu wengi wao wanapoongea na kusisitiza pointi mpaka wanyoshe kidole? Hii nimeiona kwa wengi tu (wanasiasa na hata viongozi wa dini) wa dini ya kiislamu. Kuna nini kwenye kidole? Hakuna namna nyingine ya kuwasilisha ujumbe?
Wewe utakuwa na matatizo yako binafsi na waislam, ila kunyoosha kidole watu wengi wana tabia hizo mfano mkubwa ni Mh. Mbowe je na yy muislam.
 
Sioni ubaya wowote kwa yeye ama mtu yoyote kufungua madrasa ama fellowships. Dini ni imani na wenye kuifuata na kuamini ni sisi wanadamu
 
Naona jamaa kanyosha kidole juu. Hivi kwa nini hawa wenzetu wengi wao wanapoongea na kusisitiza pointi mpaka wanyoshe kidole? Hii nimeiona kwa wengi tu (wanasiasa na hata viongozi wa dini) wa dini ya kiislamu. Kuna nini kwenye kidole? Hakuna namna nyingine ya kuwasilisha ujumbe?
..... Swali zuri !! Sisi tumezoe kutoa ushuhuda kuwa '' Mwenyezi Mungu i Mmoja" hakuzaa wala hakuzaliwa, yeye tu ndiye wakutegemewa na si vinginevyo, wala hafanani na chochote (kilicho majini, ardhini au juu mbinguni) ................ inaitwa "shahada"
 
Hakuna kokote unapoanza darasa na kuwa Chuoni isipokuwa kwenye uIslaam tu, ni nani abishae?Sisi huanza Chuo kuanzia chekechea, wapi weyeee?
unajuamaana ya fox kwa tuliokuwa enzi za miaka ya 80 "ilikuwa na maana mwanamke Malaya" halafu huko madrasa mnajaza watoto majini tu
 
Back
Top Bottom