Tangu 1800s mpaka 2000s, wazungu malighafi wanapata wapi siku hizi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangu 1800s mpaka 2000s, wazungu malighafi wanapata wapi siku hizi??

Discussion in 'International Forum' started by Waberoya, Dec 23, 2008.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Dec 23, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Naomba msaada wenu wana JF, mimi sio mwana historia lakini kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa, miaka ya 1800 Afrika tulivamiwa na wakoloni kwa sababu kulikuwa na mapinduzi ya viwanda na kuwa walikuja kutafuta malighafi, wakagawa bara letu n.k

  Swali langu ni je siku hizi malighafi wanapata wapi?? je Muumba aliumba tena wawe na madini, au wamefungua mashamba ya Mkonge na pamba?? sielewi elewi, maana bado wako juu kiuchumi,sisi wenye malighafi tuko chini kiuchumi.

  Ni karne sasa imepita tangu iliposemekana hawana malighafi,

  Kama bado hawana wanapataje?? au wamefanikiwaje kuziba hilo pengo liliotokea miaka 100 iliyopita??

  nawasilisha

  waberoya
   
 2. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  1800s walikuja kuchukua malighafi Afrika kwa nguvu, karne hii ya 21 tunawaita na kuwaomba waje kuzichukua
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,597
  Likes Received: 1,999
  Trophy Points: 280
  Waberoya hawa watu bado wanatoa rasilimali nyingi sana kutoka Afrika...Lakini inasikitisha kuwa Afrika haitajwi kabisa kwenye kipaumbele na mataifa ya magharibi kwasababu technically bado hatuna uhuru.
  Unashangazwa rais wa marekani akiingia madarakani kipaumbele ni Europe na Asia then waarabu...Afrika hata haiwi mentioned..Haiwasumbui kabisa...Wanajuwa hatuna mipango yoyote ile na malighafi zetu wanazichota tena labda kwa urahisi zaidi kwasababu sasa ni voluntary kuuza nchi na rasilimali zetu.
  Hivyo jibu ni kwamba bado wanataka na wanaendelea kutoa malighafi Afrika.
  Swali ni je sisi tunapata nini?
  Jibu ni njaa,umasikini,magonjwa nk.
   
 4. Suki

  Suki JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 373
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mataifa mengi (not necessarily all) yaliyoendelea wanabase zaidi kwenye service-oriented industries than manufacturing-based.While both still demanding raw materials,SOI will consume a smaller amount as it does not abide to the laws of quantitative demand.In short,less for better.Na ingawa kuna theories kuwa the transition is a result of increases in income levels in these countries,I still see it as an alternative way to counterbalance a decrease in raw materials with increasing quality demands.

  But,of course,this leaves a lot to be desired while analyzing an economy such as China.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Dec 24, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Supported mkuu , naamini tukiwa na leaders wenye vision, haya mambo yakawauma toka ndani ya moyo wao, tungepigania zaidi kuwa na viwanda vyetu vitakavyozalisha products na kuuza humuhumu nchini, then ku-export.

  Endapo nchi za Afrika hususan Tanzania , wangeamua tangu 1900s, kudhibiti kwa dhati malighafi zetu, basi pengine sasa hivi haya mataifa yasingekuwa na nguvu walizonazo,

  Pili naona kuna kujipendekezapendekeza kwao, kwa viongozi wetu, sijui ni rangi ile au nini, sijaona mantiki sisi kuwa tegemezi mpaka leo, wakati kila kitu tunacho! na hili si Tanzania tu , nchi nyingi Afrika ziko hivi, sijui tumerogwa wapi, au ni laana ya asili??? mimi siamini jamani hata biblia inasema Mungu hana upendeleo!

  Kwani warabu wanafanyaje?? wana control vipi mafuta yao mbona pesa kwao ipo?? hata kama wana matatizo I guess siyo kama sisi

  Ee Mungu tusaidie
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Dec 24, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Asante sana Suki kwa shule, maana ukweli hili swala linanitatiza, hawa jamaa wanaendeleaje, kuhusu SOI may be, japo ningeomba ufafanue na kutoa mifano, hizi SOI sisi nasi si tunaweza tukaform?? au unasemaje?? Then 'tukawaua' hawa jamaa ebu fafanua kidogo mkuu hii technique yao!
   
 7. Suki

  Suki JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 373
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I happen to have read the IMF's development analysis of Tanzanian economy a couple days back and according to their research,Tanzanian economy has made dramatic changes in terms of moving from Manufacturing oriented towards SOI.Tunajua kwamba itachukua muda mrefu before the effects of the transition emerge.Lakini,kwa matukio kama ulipwaji mdogo wa madaktari na migomo ya walimu na wafanyakazi wa umma,itakuwa vigumu kufanikisha maazimio ya SOI as it lays its foundation on ujasiriawatu.

  And as Darson Chiu noted in his Taipei Times article,''Instead of treating labor as a fixed input, like most economists do, a service-oriented economy needs to stress the importance of human relations-focused natural systems to add value to outputs''.

  Back to stolen raw materials.Tufahamu kwamba,wakati wakoloni walipochukua malighafi kutoka Africa and other parts of the developing world,they also took with them slaves.This was an important resource for the development of these regions,and its removal from the pool,rendered an equitable human resource development stagnation.

  Reversible?Yes.But not with the current Tanzanian socio-political situations.
   
Loading...