Tangia tuhuma zimeanza sijaona majibu ya kukanusha, au ni kweli?!¡

Olmost

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
337
439
Baada ya kubadili username musiba katoa angalizo, je ni kweli asemayo? Na kama si kweli mbona hakuna kanusho, zaidi ya mmoja wapo waliosemwa kukamatwa na polisi.
Screenshot_20190809-160710_1565356086124.jpeg
 
Mh so ndio sababu za kukamatwa Ngetti na kutangaziwa kamtukana mkewe
Au ukute polisi wanamaanisha Musiba ndo mke wa Ngetti aliyetukanwa
Huyu Ngetti kwa ujumla anawake wangapi ukimtoa musiba aliyetukanwa na yule aliyekutwa naye wakati anakamatwa?
Dah na ubaharia wangu hapa Ngetti kanipiga gape aise
 
Back
Top Bottom