TANGAZO...

Mwenye nosel za Toyota landcruiser V8 _ 200 _ standard zinahitajika.
Kwa ushauri tu angalia mkuu Mafundi wasikutie hasara,Nozzle hazikufi kirahisi,unaweza peleka gari kwa fundi labda kama umeona fuel consumption imekuwa ya juu,au zinavujisha basi fundi akakimbilia kuwa ubadilishe nozzle,tatizo kubwa la nozzle ni zile rubber zinakuwa zimechakaa ambazo ukieenda kariakoo unazipata fasta na kubadilisha kulikoni kutafuta complete pairs za hizo nozzle.
Na ili kujiweka katika upande salama kama tatizo ni nozzle mwambie fundi atafute nozzle za kuswap tatizo likiisha unanunua mpya baada ya kujiridhisha kiukweli tatizo ni Nozzle.Ila kama unauhakika shida ni nozzle kweli fika pale Toyota Nyerere road wanazo.
 
Back
Top Bottom