Tangazo. Yah:Kutenguliwa kwa uhusiano kati ya madame b na chimbuvu.

Wanajamvi kichwa cha habari chahusika.

Kwa nafasi yangu kama mwenyekiti wa Tume ya kuratibu mahusiano na ndoa hapa chit-chat nimefikia uamuzi kuchukua hatua tajwa hapo juu baada ya kubaini na kujiridhisha kuwa kumetokea ukiukwaji mkubwa wa taratibu kwa wahusika tajwa hapo juu kuwa katika uhusiano wao. Nimefikia uamuzi huu kutokana na sababu zifuatazo
1.Wahusika hawajafika mbele ya kamati ya SCREENING chini ya Mamndenyi Ruhazwe JR na The Boss ikiwa kama ni hatua ya kwanza ya kupata uhalali wa uhusiano wao
2.Hawajafika mbele ya kamati ya sheria iliyo chini ya Judgement na Ruttashobolwa ili kupata nguvu ya kisheria katika kuhalalisha uhusiano wao.
3.Kamati ya maadili inayoongozwa na BADILI TABIA haina taarifa yoyote rasmi licha ya kuskia uvumi mtaani.
4.Nimeletewa pingamizi la kisheria na MUME HALALI wa Madame B ndugu Ruttashobolwa akitaka uhusiano huu uvunjike maramoja kwani yeye hajampa talaka Madame B na hajautangazia umma wa chit chat kama amevunja ndoa yao.
4.Kumekuwa na muingiliano wa kimaslahi baina ya Chilli Chimbuvu na tedo juu ya Madame B hadi wengine kutishia kusafiri kwenda sumbawanga,bagamoyo,nigeria na kwingineko ili kutiana adabu jambo linalohatarisha amani na ustawi wa udugu.
Hivyo basi kuanzia leo jumamosi ya tarehe 24/11/2012 Uhusiano kati ya Chimbuvu na Madame B umebatilishwa rasmi na hautambuliki hadi pale wahusika watakapokuwa wamezi address kasoro zilizoainishwa hapo juu.

Wenu Baba V MWENYEKITI WA TUME YA KURATIBU MAHUSIANO NA NDOA CHIT CHAT 2012
Copy: Arushaone na Mamzalendo KWA ANGALIZO

jamani kwani my hubby Arushaone bado hajaja kuwaona embu ngoja nimuulize maana yupo hapa tumejipumzisha
 
Last edited by a moderator:
Attention Baba V

rejea katika barua yako uliyowaandikia wanachitchat siku ya jana ya tarehe 24/11/2012 kuhusu kutoutambua uhusiano uliopo kati ya bwana Chimbuvu na bibie Madame B . Ninakiri kuwa unahaki ya kuwa na wasiwasi kama Ruttashobolwa Erickb52 Arushaone,
napenda kuwatoa hofu,kwa kuwa mimi na mwenza wangu madame tulipoonana kwa mara ya kwanza kwa kweli tulipendana na tuliliongelea hili suala na tukakubaliana na tukaamua kuliweka hili jambo hadharani,na napenda tuheshimiwe na kamati kuu kwa maamuzi yetu haya.
Pia ninaomba kamati husika itangaze hadharani ni hatua gani mimi kama mwanaume na mwandani wangu Madame B,zifuatwe ili kukamilisha taratibu za chama cha chitchat ili mahusiano yangu niyapeleke next level.asanteni sana
madama B & Chimbuvu

Ameahidi kulishughulikia mapema iwezekanavyo
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kufunga ndoa namke wa mtu!

Hapa naona kura za Ndio na Hapana zipigwe....
 
Kwanza kabisa mnatakiwa kuwasilisha nia yenu kwa kamati ya SCREENING ambayo iko chini ya Mamndenyi akishirikiana na The Boss na Ruhazwe JR , hatua zingine zitafuata kutokana na matokeo na ripoti ya kamati ya SCREENING.Kila la heri katika kutekeleza hilo
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa uelewa wako ndio maana ukawa mwenyekiti hata ukaitwa Baba V,hatua zitafuatwa punde

Back
Top Bottom