Tangazo. Yah:Kutenguliwa kwa uhusiano kati ya madame b na chimbuvu.

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,515
Points
1,500

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,515 1,500
Wanajamvi kichwa cha habari chahusika.

Kwa nafasi yangu kama mwenyekiti wa Tume ya kuratibu mahusiano na ndoa hapa chit-chat nimefikia uamuzi kuchukua hatua tajwa hapo juu baada ya kubaini na kujiridhisha kuwa kumetokea ukiukwaji mkubwa wa taratibu kwa wahusika tajwa hapo juu kuwa katika uhusiano wao. Nimefikia uamuzi huu kutokana na sababu zifuatazo
1.Wahusika hawajafika mbele ya kamati ya SCREENING chini ya Mamndenyi Ruhazwe JR na The Boss ikiwa kama ni hatua ya kwanza ya kupata uhalali wa uhusiano wao
2.Hawajafika mbele ya kamati ya sheria iliyo chini ya Judgement na Ruttashobolwa ili kupata nguvu ya kisheria katika kuhalalisha uhusiano wao.
3.Kamati ya maadili inayoongozwa na BADILI TABIA haina taarifa yoyote rasmi licha ya kuskia uvumi mtaani.
4.Nimeletewa pingamizi la kisheria na MUME HALALI wa Madame B ndugu Ruttashobolwa akitaka uhusiano huu uvunjike maramoja kwani yeye hajampa talaka Madame B na hajautangazia umma wa chit chat kama amevunja ndoa yao.
4.Kumekuwa na muingiliano wa kimaslahi baina ya Chilli Chimbuvu na tedo juu ya Madame B hadi wengine kutishia kusafiri kwenda sumbawanga,bagamoyo,nigeria na kwingineko ili kutiana adabu jambo linalohatarisha amani na ustawi wa udugu.
Hivyo basi kuanzia leo jumamosi ya tarehe 24/11/2012 Uhusiano kati ya Chimbuvu na Madame B umebatilishwa rasmi na hautambuliki hadi pale wahusika watakapokuwa wamezi address kasoro zilizoainishwa hapo juu.

Wenu Baba V MWENYEKITI WA TUME YA KURATIBU MAHUSIANO NA NDOA CHIT CHAT 2012
Copy: Arushaone na Mamzalendo KWA ANGALIZO
 
Last edited by a moderator:

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Binafsi naipongeza hii kamati yako Mh. Mwenyekiti kwa kazi nzuri na ya kuaminika
Yeeeeeeeeba!
Mjini hapa we mkongoman (Chimbuvu), unatuletea visuruali vyako hapa vya kuvalia tumboni.
Bravo loya, Mamndenyi na wootw mlioshiriki kubatilisha uhusiano huu haramu.
 
Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,398
Points
1,225

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,398 1,225
Kwa kweli huu ni uvumi na wala hauna ukweli na kwa sasa sitaweza kuongea lolote kwa sababu my dia Madame B yupo mjengoni na tutatoa tamko rasmi baada ya mimi na yeye kukaa,kwa kweli huu si moto na wala hakuna mwenye hofu wote ni majasiri kama simba

Naona sasa Madame B huku moto na kule moto lol...
 
Last edited by a moderator:

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Kwa kweli huu ni uvumi na wala hauna ukweli na kwa sasa sitaweza kuongea lolote kwa sababu my dia Madame B yupo mjengoni na tutatoa tamko rasmi baada ya mimi na yeye kukaa,kwa kweli huu si moto na wala hakuna mwenye hofu wote ni majasiri kama simba
Kwa lugha nyingine hutambui maamuzi ya kamati hii? Baba V anamsikia huyu mkongoman?
 
Last edited by a moderator:

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,942
Points
2,000

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,942 2,000
Wanajamvi kichwa cha habari chahusika.

Kwa nafasi yangu kama mwenyekiti wa Tume ya kuratibu mahusiano na ndoa hapa chit-chat nimefikia uamuzi kuchukua hatua tajwa hapo juu baada ya kubaini na kujiridhisha kuwa kumetokea ukiukwaji mkubwa wa taratibu kwa wahusika tajwa hapo juu kuwa katika uhusiano wao. Nimefikia uamuzi huu kutokana na sababu zifuatazo
1.Wahusika hawajafika mbele ya kamati ya SCREENING chini ya Mamndenyi Ruhazwe JR na The Boss ikiwa kama ni hatua ya kwanza ya kupata uhalali wa uhusiano wao
2.Hawajafika mbele ya kamati ya sheria iliyo chini ya Judgement na Ruttashobolwa ili kupata nguvu ya kisheria katika kuhalalisha uhusiano wao.
3.Kamati ya maadili inayoongozwa na BADILI TABIA haina taarifa yoyote rasmi licha ya kuskia uvumi mtaani.
4.Nimeletewa pingamizi la kisheria na MUME HALALI wa Madame B ndugu Ruttashobolwa akitaka uhusiano huu uvunjike maramoja kwani yeye hajampa talaka Madame B na hajautangazia umma wa chit chat kama amevunja ndoa yao.
4.Kumekuwa na muingiliano wa kimaslahi baina ya Chilli Chimbuvu na tedo juu ya Madame B hadi wengine kutishia kusafiri kwenda sumbawanga,bagamoyo,nigeria na kwingineko ili kutiana adabu jambo linalohatarisha amani na ustawi wa udugu.
Hivyo basi kuanzia leo jumamosi ya tarehe 24/11/2012 Uhusiano kati ya Chimbuvu na Madame B umebatilishwa rasmi na hautambuliki hadi pale wahusika watakapokuwa wamezi address kasoro zilizoainishwa hapo juu.

Wenu Baba V MWENYEKITI WA TUME YA KURATIBU MAHUSIANO NA NDOA CHIT CHAT 2012
Copy: Arushaone na Mamzalendo KWA ANGALIZO
Ahsante sana Baba V Nipo nawe bega kwa bega kuhakikisha ndoa hii inabatilishwa rasmi...
 
Last edited by a moderator:

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,942
Points
2,000

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,942 2,000
Binafsi naipongeza hii kamati yako Mh. Mwenyekiti kwa kazi nzuri na ya kuaminika
Yeeeeeeeeba!
Mjini hapa we mkongoman (Chimbuvu), unatuletea visuruali vyako hapa vya kuvalia tumboni.
Bravo loya, Mamndenyi na wootw mlioshiriki kubatilisha uhusiano huu haramu.
Ashukuriwe Mungu wa Israel na yakobo...Sijui kama hiz kamati zisinge kuwepo ingekuwaje....!!
 
Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,942
Points
2,000

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,942 2,000
Nathamini na kuheshimu mawazo yenu,Tafadhali naomba maswali yenu muyaweke ili my dia akitoka mjengoni mtatuuliza na tutawajibu ipasavyo,
Naona kama umechanganyikiwa hapa hakuna aliyeuliza maswali ni uamuzi umetolewa...Labda ulikuwa unataka kukata rufaa sijakuelewa...
 
Forum statistics

Threads 1,392,878
Members 528,740
Posts 34,120,841
Top