Tangazo : Watumishi wa uma na wananchi haina haja ya kugombana.

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Kwanini nawatangazia hili Watanzania wenzangu,

Utafiti nilioufanya nimegundua Serikali ya awamu ya 5 inatugombanisha, inatugombanisha kivipi?

Utakuta wanatangaza hakuna upungufu wa Dawa Mahospitalini, ukweli hakuna Dawa, Wananchi lazima tuwe macho maana hata hao Madactari na Wahudumu wote ni wenzetu,

Walimu wanalia njaa, Serikali inazuia Michango Midogomidogo mashuleni mpaka kusababisha Shule Zingine kukosa hata Chaki, Kukosa hata hela ya kutoa Kopi za majaribio au Mitihani,

Polisi na Majeshi wana madai yao, kwahiyo matatizo kila kona,

Nawatangazia tusigombane Nchi imeoza zaidi alivyoikuta, alikuwa anasema Nchi imeoza, basi kwake imezidi kuoza Watanzania tuvumiliane,

Sisi sote ni Watanzania, Serikali isitugombanishe.

Asanteni
 
Naona siku yako leo imeanza vibaya
 
Back
Top Bottom