TANGAZO!! TANGAZO!!.... Kiwanja kinauzwa kipo MWANZA.

Bonson05

Member
Oct 12, 2012
77
95
Kiwanja kinauzwa kipo mitaa ya Igombe Ilemela mwanza.....
Kiwanja ni kikubwa kwa bei ya Tsh 5000000/= maelewano yapo.
Kwa wanunuzi seeious tuwasiliane kwa 0756442366.

Nawasilisha....!!
 

denoo49

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
6,106
2,000
Ukubwa wake kipoje? Yani ni ngapi kwa ngapi?
Na vipi kimepimwa au ndio vile vyetu vya wananzengo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom