Tangazo: Rais dr slaa ndani ya moro saa 8 mchana wa leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo: Rais dr slaa ndani ya moro saa 8 mchana wa leo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tonge, Oct 28, 2010.

 1. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Leo ndio leo, moro patawaka moto wakati rais dr slaa atakapo kuja kuhutubia wananchi wake pale kwenye uwanja wa fire uliopo masika kuanzia saa 8 mchana.njooni mumuone rais sio msanii.

  Aksanteni sana.

  Peoples powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
   
 2. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hivi Dr. ameshaenda Zanzibar na Pemba????? Au huko hatoenda kufanya kampeni?
   
 3. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Alikuwa huko Monday kama sikosei. Tembelea hapa uone Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua
   
 4. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...na alifunika mbaya
   
Loading...