Tangazo ninauza Gari Toyota Landcruiser Amazon Vx 99 na Mitsubishi Canter Tipper 2003 Znz.

Hamiar

New Member
May 27, 2011
3
0
A/allaykum ninauza gari zangu 2 inport Toyota LandCruiser Amazon Vx 99 Auto Disel #gallery-1 { margin: auto; } #gallery-1 .gallery-item { float: left; margin-top: 10px; text-align: center; width: 33%; } #gallery-1 img { border: 2px solid #cfcfcf; } #gallery-1 .gallery-caption { margin-left: 0; }




Bei million 40 Tsh na Mitsubishi Cante Tipper 2003 million 17 makubaliano yapo Zote ziko tayari Zanzibar Mwanakwerekwe.



Kwa mwenyekutaka au kuona anaweza kuwasiliana na Mjomba wangu Hamiari Shamis number ya simu ya mkononi ni 0777843578 or 0777436842 au ukitaka maelezo zaidi unaweza kunipigia simu mimi mwenyewe moja kwa moja europ number yangu ni +353868896481 utapokea maelezo zaidi assanten.

<!–
 
mkuu, je kuna gharama zozote ambazo inabidi kulipia ukitoa gari Znz kuleta huku Tanganyika?
 
kila la kheri. Samahani kwa usumbufu, mimi naomba msaada wa namna ya ku post picha kwenye thread. msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom