Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Unaliongeleaje suala la picha ndugu mwenyekiti ?
Kwa niaba ya mwenyekiti, naomba nitowe rai na pole kwa wale wote walio jeruhiwa na swala la picha.
Pili nipende kusema kwamba jf inaonekana kuvamiwa na vijana wasio na adabu na wasio na hekma hata kidogo, hali iliyo pelekea kukosa staha na kufanya mambo ya ajabu tena yenye kuitweza jinsia yetu.
Binafsi naamini wengi wapo humu wanao fahamiana, na pia kutofautiana ni jambo LA kawaida hata huku kwenye familia zetu, sasa linapo kuja swala la utashi, pengine hata inapo tokea kijana akamtongoza mdada humu na kisha kijana huyo ikitokea amekataliwa basi isiwe nongwa maana unapo zoza kuna kukubaliwa ama kukataliwa.
Kuanika picha ya mtu humu pasipo ridhaa yake, hilo ni jambo baya tena baya sana
 
Mh. Mwenyekiti kutokana na agenda tajwa hapo juu napenda kuwasilisha hoja ya kuhuzunisha kuwa 'couple za mafichoni ni nyingi sana na hazina idadi na hizi hufahamika tu pale muhusika mmojawapo akichomoa betri'. !!
Ndugu mjumbe kinda kinda asante kwa ujumbe muhimu saana.

Katiba ya chama ibara ya 10 kipengele ba.

-Inamtaka mwanachama kutangaza couple haraka iwezekanavyo pamoja na kuisajili kwa Katibu na Mwenyekiti.

Hivyo, kwa kifungu tajwa hapo juu hao wanachama wanavunja sheria na lazima sheria zifuate mkondo wake.

Acha PM wazi mjumbe.
 
Awali ya yote uongozi wa chama kikongwe jukwaani CC kinatoa radhi kwa changamoto zinazojitongeza jukwaani. Uongozi wa chama umekuwa ukifuatilia kwa kina na kufanya tathmini za dhati kabisa na hatua za awali zitachukulia.
Aidha, uongozi wa chama katika daftari lake la ukaguzi tumeendelea kupokea wanachama tele hasa wa jinsia pendwa na tunaipongeza timu yetu ya ukaguzi kwa kazi nzuri wanayofanya.
Dhumuni la andiko hili ni kuwajulisheni tumeskitika saana kuoneni katika updayes za daftari la couple hadi kufikie sasa ipo moja tu chamani ambayo ni Smart911 na mahondaw.
Kwa muktadha huo chama kinawatangazieni wanachitchat wake na wale wa MMU kuwa majimbo yote yapo huru ispokuwa jimbo tajwa juu. Wanachama wa kiume wanaombwa watumie fursa hii vilivyo na hatutaki mchezo kwenye hili.
Aidha uongozi kwa haraka umewataka.
1. Wanachama wote wa kike kuacha milango yao wazi AKA PM- ni shurti sio ombi.
2. Wanachama wa jinsia pendwa wapya kujiandikisha mara moja kwa katibu na mwenyekiti kuanzia sasa. PM ya katibu na mwenyekiti zipo wazi.
3. Nafasi ya katibu muenezi wa chama ipo wazi. Vijana changamkieni fursa.
Asanteni tuendelee kukijenga chama.
Imetolewa na Katibu na mwenyekiti wa chama.
kuna watu watakua wanajiandaa vema kumface joanah wasijue kua watapoteza 7800 zao maana joanah ananipenda mimi hilo liko wazi na nipo hapa nilipo nafikiria jibu la kumpatia ambalo halitamuumiza kihisia
 
Kozi fupi chini ya mzee huyo zifanyiwe maboresho,idadi ya PM zilizofungwa ni nyingiiiiii
Hahaha.

Ndugu mjumbe hili suala nimeliona kwa muda sasa. Tatizo mwenyekiti haambiliki anasahau nyakati zimebadilika.

Ila nikutoe wasiwasi tumepeleka vijana kusoma kozi za muda mfupi Congo...mambo yatakuwa mambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom