TANGAZO: Matapeli waibuka upya -chukua tahadhari(zittokabwe foundation)

TeamZitto

Member
May 5, 2012
18
197
*****MATAPELI WAIBUKA UPYA -CHUKUA TAHADHARI ********

Narudi tena, Sihusiki na mfuko wa mikopo unaotangazwa kupitia Mitandaoni. Sijaanzisha ZittoKabwe Foundation. Puuzeni watu wanaotangaza mikopo kwa jina langu. Nimejulisha tena vyombo vya dola suala hili ili kukamata matapeli wanaotumia jina langu kuibia Watanzania.

Wanatumia akaunti feki cc picha
IMG_00000884.png
 
Hawa watakuwa ni wale vijana wawili wanaotumiwa na viongozi waandamizi pale chadema,wanataka kumchafua tena zitto,dah!
 
Afadhali umesema mapema maana wafuasi wako wangeliwa pesa ile mbaya.
Ungekuwa unakanusha mambo mengine kama hivi ungekuwa mbali sana kisiasa.
 
Sina imani na Zitto inawezekana kajianzishia kupiga hela baada ya zile za andrea codes kubuma.
 
ww Zitto acha kucreate vii page.vya ajabu then usingizie watu wengine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom