Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
mkuu mbona hujanijibu PM?- ila one thing maelezo zaidi sina tena, nimemaliza na kama nilivyosema, nimeamua kuanza na kumsaidia ndugu yangu mwenyewe ambaye nitamlipia, na washikaji wawili wengine.
Respect and See yah!
FMEs!
ila kusema ukweli mkuu fms hili deal ni famba AKA halifai.....niliku PM ili unipe details zaidi maana mie nilikuwa tayari kutoa mnyamwezi 300 nikale life majuu....
ila sasa nina mashaka....hivi jamani eti hii organisation hata kuwa na website haiwezi angalia wanatumia 4t.com domain ambayo ni free..
http://www-craigslistfoundation-4t-com/
alafu sasa ingia kuwenye website yao ndio utakuta vichekesho utajaji mwenyewe
bwa ha ha ha ha FMES utaliwa vijisenti vyako yaani mkuu na ubaharia woote hukustukia hili kuwa ni famba AKA dili la kichina? wakuu achanneni na utapeli huu