Simchezo JF-Expert Member Apr 10, 2012 445 345 Dec 13, 2013 #1 wadau, kwangu naona tangazo la airtel bingwa kwenda kuiona manchester united linaboa, kelele nyiingi!
wadau, kwangu naona tangazo la airtel bingwa kwenda kuiona manchester united linaboa, kelele nyiingi!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,738 155,423 Dec 13, 2013 #2 Simchezo said: wadau, kwangu naona tangazo la airtel bingwa kwenda kuiona manchester united linaboa, kelele nyiingi! Click to expand... Nilipo ona heading nikajua tu ndio hilo unaloliongelea.
Simchezo said: wadau, kwangu naona tangazo la airtel bingwa kwenda kuiona manchester united linaboa, kelele nyiingi! Click to expand... Nilipo ona heading nikajua tu ndio hilo unaloliongelea.
Dengue JF-Expert Member Dec 4, 2012 2,033 1,417 Dec 13, 2013 #3 Lile tangazo ni upuuzi mkubwa. Hakuna ubunifu. Nadhani Airtel wanaongoza kwa matangazo mabovu. Mara hakatwi mtu
Lile tangazo ni upuuzi mkubwa. Hakuna ubunifu. Nadhani Airtel wanaongoza kwa matangazo mabovu. Mara hakatwi mtu
Makamee JF-Expert Member Nov 29, 2013 2,029 1,191 Dec 13, 2013 #4 LENGO LIMEFANIKIWA! Au wewe wa wa Arsenal hutaki kwenda Old Traford?