Tangazo lina-boa!

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
445
345
wadau, kwangu naona tangazo la airtel bingwa kwenda kuiona manchester united linaboa, kelele nyiingi!
 
Lile tangazo ni upuuzi mkubwa. Hakuna ubunifu. Nadhani Airtel wanaongoza kwa matangazo mabovu. Mara hakatwi mtu
 
LENGO LIMEFANIKIWA! Au wewe wa wa Arsenal hutaki kwenda Old Traford?
 
Back
Top Bottom