yaani anachojaribu kueleza ni kuwa wametumia maneno ambayo yanatumika kanisani wakatiwa kufunga ndoa za kikristu, ni kitu ambacho kimemchukiza
hebu tuondolee upumbavvu wako hapa, kwenye ukristo hakuna akili mgando kama za al shabaab, inaonekana wewe jinga hata movie za Hollywood uangalii.Ndoa Ni sakramenti takatifu kwa wakristo,nachukizwa na matumizi ya maneno toka sakramenti hiyo katika tangazo la zantel, Kuna maneno mengi Tu kuliko kutumia sakramenti takatifu, acheni mnatuboa wengi
Naona minyoo yako inaanza kupona nowdays, na huyu mtoa mada yaonyesha ana minyoo sugu. Hebu muelekeze wapi ulikopata dawa za minyoo sugu naye akanunuehebu tuondolee upumbavvu wako hapa, kwenye ukristo hakuna akili mgando kama za al shabaab, inaonekana wewe jinga hata movie za Hollywood uangalii.
you can imagine kwanini hawakutumia maneno ya hazana maana they are affiliated. Washafanya ibada zetu sehemu ya michezo Yao? Wanasikitisha. Mimi nitafurahi tangazo litakalofuata kuwala hazana
hazana ndo nini?
mkuujitambue, tangazo linagusia sakramenti takatifu ya ndoa, hatuhitaji michezo yanapokuja maswala muhimu ya imani, simply waliondoeNaona minyoo yako inaanza kupona nowdays, na huyu mtoa mada yaonyesha ana minyoo sugu. Hebu muelekeze wapi ulikopata dawa za minyoo sugu naye akanunue
Kila jambo tutalihusisha na dini tuu. Sijui tumekuwaje?
jielewe kwanza then I will take my precious time kukuelewesha