Tangazo la Wakusanya Mapato FERI-TEMESA(REVENUE COLLECTORS),sept 2019.

Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,944
1,488
Rejea Kichwa Cha Habari hapo juu,
IMG-20190913-WA0003.jpg
IMG-20190913-WA0002.jpg
 
Mshahara utakuwa 150k per month not always but most of the time inakuwga hivo kwa kazi za hivi
Sio kweli kupokea tu ushuru chooni mshahara ni 210,000,iko hivi jibu sahihi ni 300,000 hadi 350,000 wanapewa na lunch na nauli.
 
mmh kama hivi mungu ajaarie niipate maana nime apply kama ushahidi tu kwa kiwango hicho mwaka nina million 4
 
Hahahah Dah sawa boss Sasa umesahau hiyo 350,000 matumizi mengine ila kama ukituliza akili ni nyingi sana maana nina mtu ana pokea 300000 mwezi na anajilipia ada sasa hivi ndani ya mwaka mmoja na ndani yuko full maisha ni plan tu.
 
Hakuna tumizi nilosahau mkuu yaani 350K chai na safari munapewa iyo 300K nzima inaenda kwenye saving hata ikiwa uwatoi izo chai na nauri bado 300K yote itaenda saving tu....
 
Watu wanakula take home 900k wengine 1.2m na inavyoisha haieleweki Maisha haya watu wanatofautiana.
 
Take Home 1M nikipata mzigo kama huwo kitachobaki historia mkuu ndio maana sihitaji kuoa mapema mke anaweza asielewe ninamipango gani...
 
Write your reply...mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka jana, je? naweza kupata kazi na cheti ninacho .
 
Back
Top Bottom