Tangazo la tohara kwa mkoa wa Kagera

Oyono

JF-Expert Member
Sep 9, 2013
222
35
Kwa wale wana jf wa kiume wote mliopo kanda ya Kagera kuna ile huduma ya TOHARA YA HIARI imeanza kutolewa leo kwenye hospitali mbalimbali lakini wanao toa huduma hio ni akina dada walio toka vyuoni!! Msione aibu jamani jitokezeni kwa wingi!
 
wanajisifia tu kwa nje ndani wamevaa soksi ? daaaaaaah maajabu ebu ondoeni huo uchafu basi
 
Back
Top Bottom