Tangazo la selous game reserve ndani ya uwanja wa sunderland fc u.k

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
765
194
Hongereni kwa kazi wana JF wote. Leo nilikuwa nafuatilia Matangazo ya mpira Barclays Premier league kati ya Sunderland na West Brom kupitia Supersport channel. Kati ya vitu nilivyopendezwa navyo ni kuona Tangazo linalosomeka SELOUS GAME RESERVE IN TANZANIA; THE WORLD'S LAGEST GAME RESERVE.Tangazo hili lilikuwa linapita kwenye mbao za matangazo zilizo pembeni ya uwanja wa mpira wa timu ya Sunderland. Binafsi nawapongeza walioweza kupeleka tangazo hilo kimataifa. Naamini tuna mambo mengi ya kufanya ili kuitangaza tanzania yetu. Kama wenzangu mlishaliona tangazo hilo, je mna maoni gani kuhusu kuzitangaza rasilimali zetu kimataifa? Nawasilisha.
 
Well, kwanza kabisa nami naungana nawe kwa hatua ambayo imechukuliwa kutangaza vivutio vyetu mana vingi havifahamiki hapa duniani. Biashara ni Matangazo. Pamoja na kuwapongeza waliorusha matangazo hayo nami kuna jambo nataka kuweka.

Je what is the impact ya hayo matangazo kwenye kuleta watalii nchini???? Mimi nadhan ili matangazo hayo yawe na tija kwa nchi, ni lazma tuone impact yake kwa maana ya watalii wengi kuja nchini kutokana na kuona Tangazo la Selous Game Reserve linaloonyeshwa kwenye viwanja vya Sunderland. Bila kujua impact yake huenda tukawa tunapoteza fedha kidogo iliyopo, ambayo ingefaa kulinda tembo wetu dhidi ya Mijangiri iliyopo ndani ya nyinyiem.

So far, takwimu zinaonesha, watalii wengi wanakuja nchini hawatokani na direct efforts za Serikali yetu kuwatangazia watalii moja kwa moja vivutio vilivyopo nchini kwa kupitia Roadshows, Posters, kuhudhuria various trade fairs nje ya nch n.k i. Tour operators ndio wanaoleta watalii kwa asilima kubwa sana hapa nchini because promo ni one of their core business.

So pamoja na ukweli kuwa tangazo uliloliona ni zuri, huenda ni ufisadi tu ndo umetufanya tutangaze huko na sio kuwa tunahitaji sana ku-tap watalii kupitia hilo Tangazo. Inatupasa kufahamu Tangazo hilo limerushwa na nani na kwa gharama gani na lazma tujue linapredict kuleta nchini watalii wangap??Study zilizofanyika so far zimeonesha net gain ni negative baada ya kufanya Cost-Benefit Analysis (Gharama ya kurusha matangazo, ya maofisa wetu kuhudhuria international Trade fairs etc ni kubwa kuliko tunachopata therefrom).

Hivyo, kama tangazo hilo limerushwa na Serikali yetu, huo ni ufisadi tu mana takwimu zipo wazi kuwa impact ya direct intervention ya serikali katika kutangaza vivutio vyetu huko nje hazina tija. Naishauri Serikali kutumia matokeo ya tafiti kwenye kufanya maamuzi.
 
ni vizuri na nimeliona hili toka msimu uliopita wa ligi ya uingereza ila tatizo ni hawapeleki yale matangazo kwenyr tomu kubwa hasa zike zinazoitwa big four....wajitahidi kwa hilo
 
kwa Mara ya kwanza Selou inatangazwa! siku zote ni Serengeti, Manyara! tuuuuu
 
Mbona juzi juzi walitokea kwenye ma blog picha za bodi waliooenda kutafuta watalii na juu ya matangazo. Walikuwa nadhani bodi nzima as kwa picha na maelezo.

Utapeli, wizi kwa watalii unazidi hapa nchini na mapolisi hawafanyi chochote kuondoa aibu hii. Hii pia ilitolewa humu juu ya ubalozi wa Marekani unavyo wataadhalisha wananchi wao.
 
Wazo la kupeleka matangazo kwenye viwanja vya mpira UK lilikuwa ni wazo zuri. Kuna tatizo kwa mkakati kama huu. 1.Ni vigumu kupima mafanikio ya matangazo hayo,ukilinganisha na kiasi cha pesa kilicholipwa
2. Sijui kama taratibu za mikataba zilifanywa vipi maana kati ya wamiliki wa viwanja vya mpira na Wizara ya Utalii kuna kampuni na agents kama Watano. Kampuni iliyoipeleka Bodi ya Utalii ni ya Wakenya. Ambao they are not working directly with the Advertising Company. Pia kuna watu wengi wa kati waliokaa ubalozi wetu hapa London (Mama Maajar ETC)> Sababu ya kuwepo watu wengi wa kati imeongeza sana gharama za haya matangazo. Sijui ni kwa nini Bodi ya Utalii haikuingia mkataba moja kwa moja na wahusika. Ni aibu!!
 
Well, kwanza kabisa nami naungana nawe kwa hatua ambayo imechukuliwa kutangaza vivutio vyetu mana vingi havifahamiki hapa duniani. Biashara ni Matangazo. Pamoja na kuwapongeza waliorusha matangazo hayo nami kuna jambo nataka kuweka.

Je what is the impact ya hayo matangazo kwenye kuleta watalii nchini???? Mimi nadhan ili matangazo hayo yawe na tija kwa nchi, ni lazma tuone impact yake kwa maana ya watalii wengi kuja nchini kutokana na kuona Tangazo la Selous Game Reserve linaloonyeshwa kwenye viwanja vya Sunderland. Bila kujua impact yake huenda tukawa tunapoteza fedha kidogo iliyopo, ambayo ingefaa kulinda tembo wetu dhidi ya Mijangiri iliyopo ndani ya nyinyiem.

So far, takwimu zinaonesha, watalii wengi wanakuja nchini hawatokani na direct efforts za Serikali yetu kuwatangazia watalii moja kwa moja vivutio vilivyopo nchini kwa kupitia Roadshows, Posters, kuhudhuria various trade fairs nje ya nch n.k i. Tour operators ndio wanaoleta watalii kwa asilima kubwa sana hapa nchini because promo ni one of their core business.

So pamoja na ukweli kuwa tangazo uliloliona ni zuri, huenda ni ufisadi tu ndo umetufanya tutangaze huko na sio kuwa tunahitaji sana ku-tap watalii kupitia hilo Tangazo. Inatupasa kufahamu Tangazo hilo limerushwa na nani na kwa gharama gani na lazma tujue linapredict kuleta nchini watalii wangap??Study zilizofanyika so far zimeonesha net gain ni negative baada ya kufanya Cost-Benefit Analysis (Gharama ya kurusha matangazo, ya maofisa wetu kuhudhuria international Trade fairs etc ni kubwa kuliko tunachopata therefrom).

Hivyo, kama tangazo hilo limerushwa na Serikali yetu, huo ni ufisadi tu mana takwimu zipo wazi kuwa impact ya direct intervention ya serikali katika kutangaza vivutio vyetu huko nje hazina tija. Naishauri Serikali kutumia matokeo ya tafiti kwenye kufanya maamuzi.
Mkuu Patriote naona wewe ni mtaalamu wa eneo hili la tourist. Hebu tusaidie, uje na uchambuzi yakinifu na sisi wengine tujifunze kitu kupitia uchambuzi wako. Binafsi nilipoona lile tangazo nilifurahi tu kuona nchi inatangazwa. Lakini zaidi ya hapo kwakweli sijui. Wataalamu wa haya mambo tusaidieni wengine nchi yetu isonge mbele.
 
Nimekupata kiongozi, ni kweli its high time now wananchi wajue how tourism industry works. Nimebanwa kidogo na nahitaji nitafute some articles/literature to back my arguments, ila I promise you in the near future i will prepare some nice posts kuhusu Tourism Industry.
 
Yaani nipo uwanjani kuangalia pira ,sidhani kama nitaliona tangazo labda timu yangu iwe inapokea kichapo !
 
mi siamini kutangaza kwenye viwanja vya mipira inasaidia..mbona kenya hawatangazi uwanjani lakini wanaingiza watalii wengi kuliko sisi
 
Hongereni kwa kazi wana JF wote. Leo nilikuwa nafuatilia Matangazo ya mpira Barclays Premier league kati ya Sunderland na West Brom kupitia Supersport channel. Kati ya vitu nilivyopendezwa navyo ni kuona Tangazo linalosomeka SELOUS GAME RESERVE IN TANZANIA; THE WORLD'S LAGEST GAME RESERVE.Tangazo hili lilikuwa linapita kwenye mbao za matangazo zilizo pembeni ya uwanja wa mpira wa timu ya Sunderland. Binafsi nawapongeza walioweza kupeleka tangazo hilo kimataifa. Naamini tuna mambo mengi ya kufanya ili kuitangaza tanzania yetu. Kama wenzangu mlishaliona tangazo hilo, je mna maoni gani kuhusu kuzitangaza rasilimali zetu kimataifa? Nawasilisha.
unawapa hongera wana JF kwa kazi gan?au wao ndio waliofanya mchakato wa hlo tangazo.
 
Sunderland FC ni timu yetu hiyo, hata jezi yao imeandikwa "TOMBOLA" ambayo ni bahati nasibu.
...Nashangaa kila ninapopita ni Manchester, Chelsea... hata na mimi wameshaniambukiza huo ugonjwa.
 
Wazo la kupeleka matangazo kwenye viwanja vya mpira UK lilikuwa ni wazo zuri. Kuna tatizo kwa mkakati kama huu. 1.Ni vigumu kupima mafanikio ya matangazo hayo,ukilinganisha na kiasi cha pesa kilicholipwa
2. Sijui kama taratibu za mikataba zilifanywa vipi maana kati ya wamiliki wa viwanja vya mpira na Wizara ya Utalii kuna kampuni na agents kama Watano. Kampuni iliyoipeleka Bodi ya Utalii ni ya Wakenya. Ambao they are not working directly with the Advertising Company. Pia kuna watu wengi wa kati waliokaa ubalozi wetu hapa London (Mama Maajar ETC)> Sababu ya kuwepo watu wengi wa kati imeongeza sana gharama za haya matangazo. Sijui ni kwa nini Bodi ya Utalii haikuingia mkataba moja kwa moja na wahusika. Ni aibu!!
Bro unaonekana unataarifa muhimu, ila hukuzinyambua kwa mapana yake, umeziweka kwa ujumla sana, naiman wengi tutakuwa hatujakupata vile ulivyointend tukupate, rudi TETERE uziweke taarifa hizi into proper perspective!!
 
Matangazo ya Utalii wa Tanzania katika uwanja wa Sunderland yapo siku nyingi. Na mimi napendezewa na hili. Tatizo ni hela zinazotokana na Watalii kuja Tanzania zinakwenda wapi?
 
Back
Top Bottom