Tangazo la QFL magodoro Dodoma (video)

al1983

JF-Expert Member
Jun 6, 2009
328
373
Hili tangazo lina muda mrefu sana na kwa bahati nzuri wenye nalo wana fedha za kuweza kulirusha hewani kwenye TV stations mbalimbali hapa nchini. Huwa najiuliza halafu nashangaa sana kuona makosa yaliyofanyika hayarekebishwi.

Lile tangazo lina dosari katika kile kipande ambacho yule raia wa kigeni anazungumza. Yule jamaa alikosea kutamka neno "Magodoro" akatamka "MADODORA".

Cha ajabu ni miaka mingi na wao wanaona ni sawa tu liendelee kuwa hivyo, "SHAME"

Hebu sahihisheni tangazo lenu.
 
Hahaha lakini Magodoro bado yananunuliwa tu mkuu

Ngoja leo nilisikilize vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom