Tangazo la NEC

mnyakwetu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
309
96
Kuna tangazo kutoka tume ya uchaguzi linatangazwa kwenye kituo cha redio Magic Fm, linaelezea juu ya kujiandikisha katika daftari la kudumu kwa mfumo mpya wa BVR kwa jimbo la kawe ambapo inaelezwa kwamba zoezi ni kuanzia tarehe 1/12 - 10/12/2014 na hakutakuwa na marudio baada ya hapo.

Sasa sijaona zoezi hilo likifanyika katika jimbo tajwa. Kwa mwenye data zaidi tafadhali maana sitaki kukosa hili zoezi kama nilivyokosa kwa serikali za mitaa.
 
Back
Top Bottom