Shule ya sekondari mtwango, inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2014 kama ifuatavyo; 1. Kidato cha kwanza 2. Kuhamia kidato cha pili, tatu, na nne 3. Kuhamia kidato cha tano katika combination zifuatazo; hgl, hge, hgk, egm, hkl & cbg