Tangazo la nafasi ya kazi seven estate agent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la nafasi ya kazi seven estate agent

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kitomai, Feb 8, 2012.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Seven Estate Agents inatangaza nafasi ya kazi, ofisi meneja.

  Sifa za mwombaji.

  1.Awe na uwezo wa kuandika na kuongea lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.

  2.Awe anajua kutumia computer.

  3.Awe Msichana mwenye umri usiopungua miaka 18 na kuendelea.

  Maombi yatumwe kupitia anuani zifuatazo:

  1.sanduku la posta 32920, Dar es Salaam.

  2.Barua pepe:johnabeli71@yahoo.com

  3.022 262 7162 au 0756268287/0784225000/0784307332

  4.Mwombaji afike katika ofisi zetu Mbezi Beach-Goig.


  Mwisho wa kutuma maombi 25/2/2012.
   
 2. K

  KIFIRINGI New Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  please kaka tunaomba utuweke wazi sifa za meneja huyo
   
 3. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  please kaka tunaomba utuweke wazi sifa za meneja huyo

  1.Awe na uwezo wa kuandika na kuongea lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.

  2.Awe anajua kutumia computer.

  3.Awe Msichana mwenye umri usiopungua miaka 18 na kuendelea.
   
Loading...