Tangazo la nafasi ya ajira ya afisa mradi

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,706
2,000
NAFASI YA KAZI: AFISA MRADI

MWAJIRI:
BUFADESO (Farmer based NGO)

KITUO CHA KAZI:
Wilaya ya Bunda

MUDA WA KAZI: Mkataba wa mwaka mmoja. Muda wa mkataba wa ajira unaweza kuongezwa kutokana na utendaji wa mtumishi.

MAJUKUMU YA AFISA MRADI:
Afisa Mradi wa shirika la BUFADESO atatekeleza majukumu yafuatayo:
1. Kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayoendeshwa ya shirika kwa kuzingatia bajeti na mipango kazi.
2. Kutoa elimu na mafunzo ya mambo yanayohusu kilimo mseto, Kilimo biashara, Mabadiriko ya Tabia Nchi, Nishati Mbadala, Mazingira, Ujasiriamali, Usawa wa Kijinsia na mada nyingine zinazowalenga wakulima, wafugaji, wavuvi na wajasiriamali.
3. Kutoa mafunzo ya vitendo ya kilimo na ufugaji.
4. Kufuatilia maendeleo ya vikundi wanachama wa shirika.
5. Kusimamia vikao na mikutano ya vikundi wanachama na kutoa miongozo na maelekezo.
6. Kuhamasisha vikundi vya wakulima na wafugaji masuala mtambuka.
7. Kujengea uwezo jamii katika utekelezaji wa shughuli walizopanga.
8. Kutengeneza mahusiano mazuri kati ya shirika, jamii, vikundi, asasi mbalimbali na serikali ili kufanikisha shughuli za maendeleo.
9. Kuwajengea uwezo viongozi wa vikundi na wawezeshaji jamii katika kutekeleza shughuli zenye kuleta maendeleo endelevu.
10. Kuhamasisha na kufundisha shughuli za kuongeza kipato halali kwa jamii.
11. Kuwezesha uanzishwaji na uendelevu wa vikundi
12. Kuwakilisha shirika kwa Washika dau mbalimbali.
13. Kupanga, kutekeleza na kufuatilia shughuli za kila siku za vikundi wanachama.
14. Kutunza kumbukumbu za shughuli mbalimbali zinazofanywa na vikundi wanachama na shirika.
15. Kutekeleza majukumu mengine anayopewa na Msimamizi wake au uongozi wa Shirika,

SIFA ZA MWOMBAJI:
1. Awe Mtanzania.
2. Awe na astashahada/stashahada ya masomo ya Kilimo/Mifugo/Mazingira/ Maendeleo ya Jamii kutoka chuo kinachotambulika na serikali ya Tanzania.
3. Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
4. Awe muaminifu na muadilifu.
5. Awe anajua kuendesha pikipiki na mwenye leseni ya udereva (Daraja A)
6. Awe tayari kufanya kazi katika maeneo ya vijijini. Shirika la BUFADESO linafanya kazi na jamii ya wakulima na wafugaji wanaopatikana maeneo ya vijijini. Asilimia sabini na tano (75%) ya majukumu ya Afisa Mradi yatafanyikia maeneo ya vijijini walipo wanachama.

MUDA WA MKATABA:
Afisa Mradi wa Shirika atafanya kazi kwa Mkataba wa mwaka mmoja mmoja. Mkataba wa ajira unaweza kuongezwa kutokana na utendaji kazi wa mtumishi.
Maombi yote yaambatanishwe na vivuli vya vyeti vya taaluma pamoja na taarifa binafsi (C.V) na ziwasilishwe kwa barua pepe au kupitia posta. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 2 Januari 2017
Maombi yatumwe kwa;
Mwenyekiti,
Bunda Farmers Development Support Organization,
BUFADESO,
S.L.P. 95,
Bunda,
Mara - TANZANIA.
Barua pepe: bufadeso@gmail.com

Waweza pitia BUFADESO kufahamu zaidi kuhusu kazi hiyo.
 
Attachments

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,286
2,000
Asante

donpier91

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
338
250

Dah leseni imenikosesha fulsa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom