Tangazo La Msiba

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
ASSALAM ALYKUM WARAHMATU-LLAHI WABARAKATU. Jamani tulikuwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu SAIDA SAID GHARIB au jina la hapa la kisomali ni AISHA SAID GHARIB aliefariki hapa uingereza kwa hio tunawaomba ndugu zetu munaomjua muwasiliane na BI FIRASHA kwenye namba hii +447876750843 kwa kwenda kumstiri mwenzetu.
 
Back
Top Bottom