Tangazo la mnada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la mnada.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Crashwise, Sep 16, 2010.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Comred auction mart company limited,
  P.O.Box 61508,
  Dar es Salaam.
  Phone no: 2775904
  fax: 2775903

  Tangazo la mnada wa hadhara, kwa amri tuliyopewa na mahakama kuu ya tanzania idara ya kazi dar es salaam, kuhusiana na kesi na. 7 ya mwaka 2010 (execution no. 7 of 2010)
  mohamed mtangi na wenzake (mdai) dhidi ya mkurugenzi wa kampuni ya t.i.o.t (mdaiwa) tutauza kwa mnada wa hadhara mali za mdaiwa kama ifuatavyo:

  • generator moja kubwa (1pc generator, 130 kv, volvo engine).
  • 4pcs motors:
  1. Hansen made in uk, type aef 160ma-a619927, kwt. 110 volt.400, phase 3.
  2. Hansen made in uk, type wu-ef25omne kwt.55 volt.400 phase 3.
  3. Hansen made in uk, type a-ef 160 kwt22 volt.400 phase 3.
  4. Hansen made in uk, typek-lf 250mn, kwt110, phase 3.
  • load arms 3, 4 inches for each one.

  Mnada utakuwa tanga kwenye yard ya hv asher eneo la gofu inatazamana na kiwanda cha zamani cha gossage shirts (tanga).
  Mnada utakuwa jumapili tarehe 19/09/2010 saa nne asubuhi.

  Masharti ya mnada:
  Mnunuzi atakayebahatika kutoa bei ya juu itabidi alipe asilimia 25 (25%) ya bei hiyo na asilimia 75 (75%) amalize baada ya siku kumi na nne (wiki mbili) tokea siku ya mnada. Kushindwa kumalizia katika muda uliopangwa kutafanya kutorudishiwa fedha zilizolipwa awali, na mnada utarudiwa siku nyingine itakayopangwa.
  Kwa maelezo zaidi wasiliana na dalali comred semy mkumbo kwa simu namba 0655262461 au 0784262461.
   
Loading...