Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 683
- 124
Source: [media]http://www.mof.go.tz/mofdocs/anouncement/Mnada.pdf[/media]Wananchi wote wanatangaziwa kwamba Serikali itauza kwa njia ya mnada wa
hadhara magari ya mradi wa maboresho ya mfumo wa Serkali za mitaa (LGRP),
yaliyoko ofisi ya mradi Kinondoni, DSalaam
Natamani ningeona kuwa Mashangingi ya serikali yanauzwa walau kutupunguzia mzigo walipa kodi.