Tangazo la mabasi ya kichina

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
Ni mabasi ya kisasa ambayo ni " AUTOMATIC" kwa kila kitu,
endapo kuna ajali linasimama automatically abiria mnashuka
halafu linaenda hadi panapo tukio linaanguka au kugongana
na gari jingine likiwa tupu. Karibuni sana wateja ili kuondoa vifo vitokanavyo na ajali.
 
your thred lacks info, imekaa kiuongo sana. toa maelezo zaidi
 
Ukumbuke kwamba kama ni utani weka mambo yajulikane waazi kwamba ni utani. Usiwaumize vichwa watu kutafakari kumbe wewe huna kitu cha kuchangia. Watu wameumizwa kutokana na ajali ama wao wenyewe au ndugu zao na wengine hivi sasa wako kwenye misiba itokanayo na ajali hizo. Try to take serious issues seriously kijana.

Leka

Leka
 
Si mawazo mabaya! Innovation inaweza kutokana na fikra za namna hii pia(crazy or even crazier than this!).
 
Ukumbuke kwamba kama ni utani weka mambo yajulikane waazi kwamba ni utani. Usiwaumize vichwa watu kutafakari kumbe wewe huna kitu cha kuchangia. Watu wameumizwa kutokana na ajali ama wao wenyewe au ndugu zao na wengine hivi sasa wako kwenye misiba itokanayo na ajali hizo. Try to take serious issues seriously kijana.

Leka

Leka

we wa wapi wewe? huoni imekuwa postedf ktk jokes?au ndo umelazimishwa kuingia ktk thread ya jokes? we seems mpenda umbea nenda ktk sisa!
 
Unajua mkurugenzi kuna watu humu sijui wanatokea pande ipi ya dunia,wanataka kila wakati tuwe serious tuu,sasa na kwenye jokes mtu awe serious hilo si ni balaa.
 
Sasa kama linaweza kujua kuhusu ajali kwanini liende kujigongesha this is crazy. Kwanini lisirudi lilikotoka kikwepa hiyo ajali? Hawajui lolote hao wadanganyifu tuu.
 
inabidi kila new member apewe maelezo ya ziada, inaonekana watu hawajui siasa ni nini, jokes ni nini au tuseme hawajui kuitumia hii blog. mkuu jaribu kuelimisha watu kama tatizo ni lugha basi wafikirie.
 
Ni mabasi ya kisasa ambayo ni " AUTOMATIC" kwa kila kitu,
endapo kuna ajali linasimama automatically abiria mnashuka
halafu linaenda hadi panapo tukio linaanguka au kugongana
na gari jingine likiwa tupu. Karibuni sana wateja ili kuondoa vifo vitokanavyo na ajali.
mi naona yana kichaa cha kwenye mbuzi cha kwenda kumchungulia adui, si yangekuwa yanaahirisha safari?
 
Wakati mwingine akili ya binadamu hu jam na kushindwa kupambanua mambo na ndio maana April 1 huwa haikosi wateja ingawa sio kitu kipya.
 
imeeleweka. hihihihihihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
inabidi kila new member apewe maelezo ya ziada, inaonekana watu hawajui siasa ni nini, jokes ni nini au tuseme hawajui kuitumia hii blog. mkuu jaribu kuelimisha watu kama tatizo ni lugha basi wafikirie.
naona kama vile unajisema wewe vile coz upo kwenye thread ya udaku lakini bado tu unataka kuelewa sana, kama unaona haichekeshi na wala haipo kwenye udaku si unauchuna tu ...!!
 
:rolleyes:
Sasa kama linaweza kujua kuhusu ajali kwanini liende kujigongesha this is crazy. Kwanini lisirudi lilikotoka kikwepa hiyo ajali? Hawajui lolote hao wadanganyifu tuu.

Kwani we hujui ajali haina kinga.! Wacha Wachina watuokoe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom