Tangazo la kupotelewa na vyeti

Shibandiko

Member
Nov 10, 2013
18
0
Wana jamvi nimepotelewa na vyeti vyangu vifuatavyo, Cheti cha form 4 moshi tech 2004, form 6 Pugu secondary 2007, Institute of Accountancy Arusha (IAA) 2011 pamoja na cheti cha Tanzania Institute of Bankers (TIOB). Jina ni SALVATORY SHIBANDIKO. Kwa yeyote aliyeviona au atakayeviona awasiliane namimi kwa namba 0766015060, zawadi itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa vyeti hivyo,,,
 
Mazingira gani vimepotea ..ulikabwa, umeporwa au ikoje embu dadavu kidogo tujue tunaanzia wapi kukusaidia
 
Nilikuwa safarini dar to mwnz along morogoro kunakibaka alisepa na bag yangu ndogo ambamo ndo kulikuwa na vyeti kk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom