Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 11,955
- 10,317
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya “National Health Insuarance Fund” (NHIF) inapenda kuwataarifu watanzania wote walioomba kazi zilizokuwa zimetangazwa kwa niaba ya Mfuko huo kuwa, inatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji wote watakaofaulu usaili huo. orodha ya majina ya wanaoitwa kwenye usaili yanapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira www.ajira.go.tz