Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
11,774
9,966
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni anapenda kuwataarifu waombaji kazi kuwa, usaili wa kuandika unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29-30 Septemba, 2017 katika Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Kivukoni

Kuona Orodha ya Majina ya waombaji kazi wanaoitwa kwenye usaili tembelea website ya Sekretarieti ya Ajira www.ajira.go.tz au Tovuti ya Manispaa ya Kigamboni www.kigambonimc.go.tz
 
Attachments

  • Usaili Kigamboni.pdf
    1.9 MB · Views: 394
Ht km ni elf 10 huwezi weka uwiano wa nafasi na waombaji yaani nafasi 36 kwa watu 2000 haikai akilini ndugu.

Mkuu unajua maana ya usaili wa mchujo/kuandika na unajua kwanini kuna usaili wa mchujo ?

Kama ni wewe ndio mtu wa HR ungetumia kigezo gani kupunguza waombaji wa kazi waliokidhi vigezo vyote ili uwiano uwe mzuri kulingana na nafasi zilizopo ?
 
loh, yaani ajira za watendaji wa kijiji zimekuwa hotcake siku hizi??? duh yaani watu 10,000 wanaenda kuomba kazi ya mshahara wa 390,000??? kweli ajira ya bongo majanga!!!! aisee watu tumekuwa wengi mno hapa tanzania.
tena si ajabu kuna watu wana digrii na masters wanaenda kwenye hio interview.
 
Kwa degree wapo tena wengi Sana.
 
loh, yaani ajira za watendaji wa kijiji zimekuwa hotcake siku hizi??? duh yaani watu 10,000 wanaenda kuomba kazi ya mshahara wa 390,000??? kweli ajira ya bongo majanga!!!! aisee watu tumekuwa wengi mno hapa tanzania.
tena si ajabu kuna watu wana digrii na masters wanaenda kwenye hio interview.
Mtaa uskie tuu
 
Back
Top Bottom